Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri Tamisemi mnasubiri nini kujiuzulu?

Wabunge juzi waliweka kando itikadi zao za kisiasa na kupitisha kwa kauli moja azimio la kuwataka mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kujipima kama wanastahili kuendelea kuiongoza wizara hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi: Mawaziri wote kujiuzulu Chile

Rais wa Chile Michelle Bachelet amelitaka baraza lake lote la mawaziri kujiuzulu.

 

11 years ago

GPL

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS
Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS
2.1 Waziri wa… ...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tamisemi isisimamie uchaguzi’

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimependekeza Sheria ya Uchaguzi Serikali za Mitaa ibadilishwe ili uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) badala ya kusimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

 

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi kuelimisha wapigakura

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema wizara yake imeweka mikakati ya kuhakikisha inatoa elimu kwa jamii kupitia halmashauri ili wananchi watambue umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

Blatter kujiuzulu Fifa

Zurich, Uswisi. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Razak akataa kujiuzulu

Waziri mkuu wa Malaysia , Najib Razak, amepinga wito wa kujiuzulu kwake kufuatia madai ya ufisadi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani