Mawaziri waja na mikakati mizito
NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
MAWAZIRI wapya walioteuliwa wiki iliyopita na Rais Dk. John Magufuli, wameapishwa na kueleza mikakati yao.
Wakizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, amewaahidi Watanzania kupata elimu bora, huku Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akitangaza kiama kwa wakwepa kodi.
PROFESA NDALICHAKO
Profesa Ndalichako alisema kipaumbe chake cha kwanza ni kuhakikisha elimu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog
SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAJA NA MIKAKATI MIPYA KIUTENDAJI

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Zainab Abdallah, akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam, Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Daniel Zenda, Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha, Luhende Luhende na Katibu wa Idara ya Elimu, Tafiti na Uongozi, Ally Hapi. (Picha na Bashir Nkoromo).
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa habari,
Kamati ya Uratibu ya Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Taifa, ilifanya...
10 years ago
Raia Tanzania07 Sep
‘Losassa, Sumaye ni mizigo mizito’
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) muda mfupi ujao kitajutia uamuzi wa kumkaribisha Waziri Mkuu aliyejiuzu, Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye kwa sababu viongozi hao ni mizigo isiyobebeka kama lumbesa.
Matamshi hayo yalitolewa jana na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka, katika mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge Jimbo la Isimani, William Lukuvi, uliofanyika kwenye viwanja...
10 years ago
Vijimambo24 Feb
WATANGAZA NIA WAELEWE KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO ATABEBA MIZIGO MIZITO

TUMSHUKURU Mungu kwa kutupa uhai, hatuna budi kumpongeza kwa kutupendelea kwani wengi kawachukua na sasa wametangulia mbele za haki.
Baada ya kusema hayo nianze mada ya leo kwa kusema kwamba rais ajaye wa awamu ya tano hapa nchini atabeba mizigo mizito na kwa hali hiyo ni wazi kwamba atakuwa na wakati mgumu pengine kuliko watangulizi wake wanne.
Naamini kwamba wanasiasa wote waliotangaza nia ya kuwania ofisi hiyo kubwa kuliko zote nchini kiutendaji wanalitambua...
9 years ago
Michuzi
11 years ago
GPL
UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA
11 years ago
GPLMKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
WAJA kusomesha wanafunzi 20
TAASISI ya WAJA imeahidi kuwasomesha bure kuanzia kidato cha tano hadi cha sita wanafunzi 20 wanaotoka kwenye familia duni na yatima waliofaulu katika mitihani ya kuhitimu kidato cha nne mwaka...