‘Losassa, Sumaye ni mizigo mizito’
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) muda mfupi ujao kitajutia uamuzi wa kumkaribisha Waziri Mkuu aliyejiuzu, Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye kwa sababu viongozi hao ni mizigo isiyobebeka kama lumbesa.
Matamshi hayo yalitolewa jana na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka, katika mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge Jimbo la Isimani, William Lukuvi, uliofanyika kwenye viwanja...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Feb
WATANGAZA NIA WAELEWE KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO ATABEBA MIZIGO MIZITO

TUMSHUKURU Mungu kwa kutupa uhai, hatuna budi kumpongeza kwa kutupendelea kwani wengi kawachukua na sasa wametangulia mbele za haki.
Baada ya kusema hayo nianze mada ya leo kwa kusema kwamba rais ajaye wa awamu ya tano hapa nchini atabeba mizigo mizito na kwa hali hiyo ni wazi kwamba atakuwa na wakati mgumu pengine kuliko watangulizi wake wanne.
Naamini kwamba wanasiasa wote waliotangaza nia ya kuwania ofisi hiyo kubwa kuliko zote nchini kiutendaji wanalitambua...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Mawaziri waja na mikakati mizito
NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
MAWAZIRI wapya walioteuliwa wiki iliyopita na Rais Dk. John Magufuli, wameapishwa na kueleza mikakati yao.
Wakizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, amewaahidi Watanzania kupata elimu bora, huku Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akitangaza kiama kwa wakwepa kodi.
PROFESA NDALICHAKO
Profesa Ndalichako alisema kipaumbe chake cha kwanza ni kuhakikisha elimu...
10 years ago
Vijimambo
USAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBARUSAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBAR

11 years ago
Mwananchi03 Apr
‘Wakongwe mizigo Ashanti’
11 years ago
Habarileo20 Jan
Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’
SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.
11 years ago
Mwananchi20 Jul
‘Walioondoka Chadema ni mizigo’
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Mizigo yatesa CCM
UTEUZI wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete wiki iliyopita, umekimega mapande mawili yanayotishia mustakabali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili, limebaini. Kabla ya uteuzi huo, Kamati Kuu...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
‘Mizigo’ itaisambaratisha CCM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amenukuliwa siku za hivi karibuni akisema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kisitafute dawa ya mawaziri ‘mizigo’, badala yake wamwajibishe...