‘Walioondoka Chadema ni mizigo’
 Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema mjini Kigoma wamesema kuondoka kwa viongozi wao watatu wa ngazi ya Mkoa na kutangaza kujiunga na Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT) kumewafariji na kuwapunguzia mzigo wa fikra kwa vile walikwishaonyesha nia ya kukihama chama hicho tangu Desemba 2013.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Jul
Mbowe: Wanachama ‘mizigo’ Chadema ruksa kuondoka
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema uongozi wake, utakilinda chama kwa gharama yoyote na kuwa milango iko wazi kwa watu wasio na nia ya dhati kuondoka.
10 years ago
VijimamboUSAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBARUSAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBAR
11 years ago
Mwananchi03 Apr
‘Wakongwe mizigo Ashanti’
11 years ago
Habarileo20 Jan
Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’
SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
‘Mizigo’ itaisambaratisha CCM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amenukuliwa siku za hivi karibuni akisema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kisitafute dawa ya mawaziri ‘mizigo’, badala yake wamwajibishe...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Mizigo yatesa CCM
UTEUZI wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete wiki iliyopita, umekimega mapande mawili yanayotishia mustakabali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili, limebaini. Kabla ya uteuzi huo, Kamati Kuu...
10 years ago
VijimamboUSAFIRISHAJI MIZIGO DAR NA ZANZIBAR
10 years ago
Habarileo07 Nov
Mbunge na Waziri waitana mizigo
VUTA nikuvute imeibuka baada ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola (CCM) kuitana mizigo ndani ya Bunge.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...