Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge na Waziri waitana mizigo

VUTA nikuvute imeibuka baada ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola (CCM) kuitana mizigo ndani ya Bunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward LowassaMsemaji wa Waziri Mkuu Mstaafu  Mhe. Edward Lowassa,  Bw. Aboubakary Liongo---- Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

HOFU YA KUTOKEA MAFURIKO,WAKAZI WA KATA YA MABOGINI-KILIMANJARO WAITANA MSARAGAMBO KUZIBA MAPITIO YA MAJI

Wakazi wa Kitongoji cha Bogini wakiwa wamejitikeza kwenye Msaragambo kwa ajili ya kuchimba na kufukia kwa vifusi maeneo ambayo ni mapitio ya maji kwenda kwenye makazi ya watu. Wakazi wa kata ya Mabogini wakiwa katika Msaragambo. Shughuli ya kuziba maeneo korofi iliendelea. Hata wale wasio na vitendea kazi walilazimika kutumia mikono kufanya shughuli hiyo. Sehemu ya barabara ikizibwa na mabaki ya mmatofari ya kuchoma.   Shughuli ya kuziba maeneo hayo ikiwa imekamilika .

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA (KIA)

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipakia mizigo kwenye ndege mara baada ya kuongoza mapokezi ya ndege ya mizigo aina ya 787-Dreamliner mali ya shirika la ndege la Ethiopia katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimajaro (KIA) Leo tarehe 17 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb), Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Mhe Anna Mghwira na Afisa Mtendaji Mkuu wa TAHA Dkt Jacqueline Mkindi wakijadili jambo wakati wakikagua uwanjani...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipakia mizigo kwenye ndege mara baada ya kuongoza mapokezi ya ndege ya mizigo aina ya 787-Dreamliner mali ya shirika la ndege la Ethiopia katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimajaro (KIA) tarehe 17 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb), Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Mhe Anna Mghwira na Afisa Mtendaji Mkuu wa TAHA Dkt Jacqueline Mkindi wakijadili jambo wakati wakikagua uwanjani hapo...

 

10 years ago

Vijimambo

USAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBARUSAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBAR

TUMA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA BAHARI AMBAYO NI NAFUU KWA UZITO WOWOTE ULE, CONTAINER LETU LINAONDOKA MWISHO MWA FEBRUARY.KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI KWA CONTACT HIZO HAPO JUU

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge amtaka Waziri ajiuzulu

MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF), amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kujiuzulu kwa kushindwa kuisimamia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kukamata mafisadi wakubwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge- Naibu Waziri anapendelea

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), ametoa shutuma nzito bungeni jana dhidi ya Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Agrey Mwanri, kuwa anapendelea baadhi ya wilaya ikiwemo jimbo lake kwa kuzipatia magari mengi ya kubebea wagonjwa huku maeneo mengine yakisahauliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge- Waziri atafute kazi nyingine

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amesema haiingii akilini kuona Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika kuendelea kuwa madarakani licha ya kushindwa kusimamia maeneo muhimu ya kilimo kama wakulima kupelekewa mbegu na mbolea bandia.

 

10 years ago

StarTV

Mbunge amchongea Waziri Mkuu Pinda kwa Kinana.

Na Joseph Mpangala, Mtwara.

 

Mbunge wa Mtwara Mjini Hasnain Murji amemlalamikia Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kushindwa kutoa kibali cha kuruhusu ulipaji wa fidia katika viwanja vya wakazi wa Mtwara ambavyo tayari vimepimwa na pesa kutoka Manispaa hiyo ipo tayari kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

 

Murji amesema amekutana na Waziri Mkuu mara tano lakini amekuwa akizungushwa kupata kibali jambo linalochangia ucheleweshwaji wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba kwa wakazi wa maeneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani