Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wakutana na waandishi wa habari kuelezea maendeleo ya Elimu bara na visiwani

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali zanzibar, Ali Juma Shamuhuna (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na Waziri wa Elimu na Ufundi wa Tanzania Bara, Shukuru Kawambwa, mkutano uliowashirikisha pia maofisa kutoka Wizara hizo mbili, ulifanyika kwenye makao makuu ya Wizara ya Elimu mjini Zanzibar. Kushoni ni Waziri wa Elimu na Ufundi wa Tanzania Bara, Dkt. Shukuru Kawambwa   Waziri wa Elimu na Ufundi wa Tanzania Bara, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza  Mawaziri Ali Juma Shamuhuna na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mawaziri wa Elimu Tanzania Bara na Zanzibar wakutana na waandishi wa habari kuelezea maendeleo ya Elimu

Waziri wa Elimu na Ufundi, Shukuru Kawambwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna kwa pamoja wamekutana kujadili mwenendo wa elimu Tanzania na kuchambua matokeo ya Kidato cha nne hususani viwango vya kufaulu na kufeli na hatimae kuwasilisha taarifa ya mkutano wao kwenye Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Mapinduzi Zanzibar.
Mawaziri hao walikutana jana mjini Zanzibar na kuongea na waandishi wa habari kuhusu maendeleo...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu Chama cha Baseball Tanzania (TABSA) Alpherio Nchimbi (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mashindano ya Kitaifa ya mchezo wa baseball yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika shule ya Sekondari ya Azania iliyopo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa mchezo wa Baseball Africa (AFAB) Shinya Tomonari na Kutoka kulia ni Afisa Michezo Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Richard Mganga. Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA KODI

 Meneja wa Kampuni ya Business Connexion Tanzania Limited Ebenezer Massawe akitoa mafunzo juu ya kupata taarifa ya vyanzo vya mapato  kwa waandishi wahabari  wakati wa  semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania  (TAWNET jijini Dar es Salaam. Kwa udhamini wa Vodacom Tanzania.  Afisa Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Hamisi Lupenja,akifafanua jambo  kwa waandishi wahabari (hawapo pichani ) wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ufisadi, madawa ya kulevya na mauaji ya tembo vimewafanya waandishi kuacha kuandika habari za maendeleo — Muhanika

semina pic 1

Katibu Mtendaji wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Henry Muhanika akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakati wa kufunga mafunzo hayo ya siku pili mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mhadhiri kutoka Shule ya Uandishi wa habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) Dkt Ayoub Rioba na Kulia ni Mratibu wa THRDC, Onesmo Olengurumwa.

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania

MATUKIO ya kihalifu kama vile ufisadi, rushwa, uigizaji na usafirishaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma akifungua Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza katika Ukumbi wa Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar. Dkt. Ahlam Ali akiwasilisha mada ya maradhi ya Presha katika Semina ya Waandishi wa Habari iliyohusu magonjwa yasiyoambukiza katika Ofisi ya Malaria Zanzibar Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Hassan Vuai akitoa mchango katika Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu ongezeko la...

 

10 years ago

Michuzi

KWIECO YATOA ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI KILIMANJARO...

Afisa Habari wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mkoani Kilimanjaro (KWIECO), Veronica Ollomi akifafanua jambo katika Warsha ya siku mbili kwa waandishi wa Habari  wa mkoa wa Kilimanjaro, kilichofanyika juzi mjini Moshi, kwa lengo la kuwapa mafunzo juu ya Haki za Binadamu na Sheria zake. 
 Washiriki wa Warsha ya Haki za Binadamu, waandishi wa Habari mkoani Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini wakati wa uwasilishaji wa mada mbalimbali katika mafunzo hayo, yakiwemo swala la Wosia, Sheria ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani