Mawaziri wapigwa kalamu Nigeria
Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan, amewafuta kazi mawaziri wanne akiwemo waziri wa usafiri wa angani aliyehusishwa na ufisadi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Polisi wapigwa kalamu kwa ubakaji India
Waziri mkuu wa jimbo kubwa zaidi nchini India la Uttar Pradesh amewafuta kazi polisi wawili kwa kumteka na kumbaka msichana
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Nigeria yampiga kalamu mkufunzi Keshi
Stephen Keshi amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya Nigeria The Super Eagles na nafasi yake kuchukuliwa na Shaibu Amodu kulingana na shirikisho la soka nchini Nigeria NFF.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Mawaziri wapigwa ‘stop’ ziara za JK
Katika kile kinachoonekana kutaka mawaziri washiriki vikao vya kamati za Bunge la Katiba ili kukidhi matakwa ya akidi, Rais Jakaya Kikwete amesema hakuna ulazima wa mawaziri kuambatana naye kwenye ziara zake mikoani, badala yao wawepo makatibu wakuu wa wizara kama wanahitajika.
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Wachezaji 5 wapigwa risasi Nigeria
Wachezaji 5 wa kilabu ya Kano Pillars , Nigeria walipigwa risasi na wapiganaji katika shambulizi lillolenga msafara wa kilabu hiyo
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Mawaziri 7 wajiuzulu Nigeria
Mawaziri saba wa serikali nchini Nigeria wamejiuzulu nyadhifa zao katika serikali ya Rais Goodluck Jonathan.
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Baraza jipya la mawaziri latangazwa Nigeria
Orodha ya mawaziri katika serikali ya rais Muhammadu Buhari iliyosubiriwa kwa hamu sasa imetangazwa na spika wa bunge la seneti la Nigeria.
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Tanzania yampiga kalamu kocha wake
Mkufunzi Mart Nooij amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya taifa ya soka nchini Tanzania baada ya timu hiyo kushindwa 3-0 na Uganda nyumbani katika mechi ya awamu ya kwanza ya kufuzu kwa michuano ya CHAN.
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Waziri mkuu wa Senegal apigwa kalamu
Waziri mkuu nchini Senegal Aminata Toure ameachishwa kazi baada ya chama tawala kushindwa katika uchaguzi mkuu.
9 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania