Maximalipo bingwa mbio za Ngalawa Bagamoyo
NA MWANDISHI WETU
LICHA ya utamaduni wa Waswahili kuonekana kupungua kwa kiasi kikubwa, Tamasha la Kimataifa la Nchi za Jahazi (ZIFF) limekuwa mstari wa mbele kuendeleza tamaduni hizo ili zisipotee kabisa hasa katika maeneo ya Pwani ya Afrika Mashariki.
Mashindano ya Utamaduni wa Swahili ni moja kati ya matukio makubwa yanayoitambulisha ZIFF kitaifa na kimataifa kwa kuwa uhudhuriwa na watu wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Juzi kulifanyika mashindano ya Ngalawa hasa katika Pwani ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUnamkumbuka Bingwa wa zamani mbio za mita 400 Tanzania??
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JWe3dXBN65E/VhLd6bFjPHI/AAAAAAADAVk/PV432man6d0/s72-c/121.jpg)
IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Nipande ngalawa gani?
pi ngalawa thabiti, inifikishe Gongoni,
Sitaki niwe maiti, chozi libaki majini,
 Ipi niipe kibuti, nyeupe au kijani,
Yangu zawadi ni swali, nipande ngalawa gani?
10 years ago
VijimamboMASHINDANO YA NGALAWA YA KUADHIMISHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PDuFvn5TOvPkdiURzj53O*BFTXiPF5e7fEpLLbf7e3TEQyR*paZWgzM61Cxtr8QgFTEmE4nYl3ZneBUimQssKTFATwd2o68l/NgalawaPHOTO.jpg)
CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE
Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1i51vM7IjLc/XteJcAYy9aI/AAAAAAALsbw/kt3MhNSLZ3YHPhT9uHFD6bzC2V7mlnSvQCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0010.jpg)
DC BAGAMOYO AHIDI KUMALIZA KERO NA MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BANDARI YA BAGAMOYO
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa amewasihi wafanyabiashara kutumia bandari ya Bagamoyo kuingiza bidhaa zao na kusafirisha bidhaa zinazotoka nje ya Bagamoyo.
Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.
Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...
Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.
Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...
10 years ago
MichuziMashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
14-February-2025 in Tanzania