Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unamkumbuka Bingwa wa zamani mbio za mita 400 Tanzania??

Unamkumbuka Morris Okinda? Yule bingwa wa zamani wa mbio mita 400 kuruka viunzi, hivi sasa ndiyo Mkuu wa Polisi (OCD) wilaya ya Monduli.Okinda aliweka rekodi ya mita 400 kuruka viunzi katika mashindano ya Afrika mwaka 1985 jijini Cairo Misri akitumia sekunde 51:20 ambayo kitaifa haijavunjwa mpaka hii leo.Waalifu wakikimbia jamaa akiwepo hawachukui raundi maana alikuwa anawakamata dakika tu maana anakimbiza upepo balaa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mbio za mita 100 ni leo China

Mbio za mita 100 upande wa wanaume , moja ya mbio zinazoenziwa zaidi zinafanyika muda mfupi unaokuja nchini China.

 

9 years ago

BBCSwahili

Usain Bolt bingwa wa dunia wa mita 200

Usain Bolt ameshinda medali ya pili ya dhahabu katika mashindano ya riadha ya dunia yanayoendelea baada ya kushinda mbio za 200m

 

10 years ago

Mtanzania

Maximalipo bingwa mbio za Ngalawa Bagamoyo

IMG_6305NA MWANDISHI WETU
LICHA ya utamaduni wa Waswahili kuonekana kupungua kwa kiasi kikubwa, Tamasha la Kimataifa la Nchi za Jahazi (ZIFF) limekuwa mstari wa mbele kuendeleza tamaduni hizo ili zisipotee kabisa hasa katika maeneo ya Pwani ya Afrika Mashariki.
Mashindano ya Utamaduni wa Swahili ni moja kati ya matukio makubwa yanayoitambulisha ZIFF kitaifa na kimataifa kwa kuwa uhudhuriwa na watu wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Juzi kulifanyika mashindano ya Ngalawa hasa katika Pwani ya...

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKIANA NA UVCCM KATIKA MBIO ZA UZALENDO TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akipokea msafara wa pikipiki wa vijana wa CCM (UVCCM) ambao wanaendesha mbio za Uzalendo Tanzania zikiwa na lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar jana tarehe 07-04-2014. Mbio hizo za kitaifa zinahusisha msafara wa pikipiki tano zinazoongozwa na viongozi watatu wa UVCCM ambao wanakuwa kwenye gari, aidha zinashirikisha wadau mbalimbali wa UVCCM katika kuzifanikisha. Mbio hizo  zinahimiza vijana kudumisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani