Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo awapa jeuri Tegete, Cannavaro

Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
WACHEZAJI mahiri wa Yanga, beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na straika Jerry Tegete, wamefurahishwa na ujio wa Kocha Mbrazili, Marcio Maximo katika kikosi cha Yanga na wakatamba kuwa timu yao itakuwa tishio msimu ujao.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tegete: Maximo hanibebi

>Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete amesema hafikirii kama atapata nafasi kikosi cha kwanza kwa kutumia ukaribu wake na kocha Marcio Maximo bali atapambana ili achezeshwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awaongezea ‘sumu’ Jaja, Tegete

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewapa mbinu mpya washambuliaji wake Genilson Santana Jaja na Jeryson Tegete kwa lengo la kuwawezesha nyota hao kutoa mchango unaohitajika kwenye kikosi cha timu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Faru Jeuri awapa tano mashabiki

BAADA ya timu ya Faru Jeuri kutwaa ubingwa wa Ndondo Cup 2015 kwa kuifunga Kauzu FC kwa penalti 4-3 baada ya pambano kumalizika kwa sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90, kocha wa Faru Jeuri, Spear Mbwembwe amewashukuru wachezaji na mashabiki wote.

 

9 years ago

Mwananchi

Tegete, Yanga watishana

Polisi na wadau wengine wa soka mjini Shinyanga juzi waliepusha shari baina ya mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Jerry Tegete na shabiki wa klabu hiyo.

 

10 years ago

GPL

Tegete, Mrwanda watemwa Yanga

Mkongwe wa Yanga, Jerry Tegete. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BENCHI la ufundi la Yanga chini ya Mdachi, Hans van Der Pluijm, limedaiwa kufanya maamuzi magumu ambayo kwa namna moja au nyingine, yatawashangaza wadau wengi wa klabu hiyo. Imedaiwa kuwa kocha huyo ambaye ameiongoza Yanga msimu huu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, amependekeza wachezaji saba kuondolewa kutokana na mchango yao finyu msimu mzima, akiwemo mchezaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yawatema Kaseja, Tegete

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amemwengua, kipa Juma Kaseja na mshambuliaji Jerryson Tegete katika kikosi chake cha wachezaji 19 kinachoondoka nchini leo kuelekea Comoro kuikabili Komorozine.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Coutinho, Tegete waiteketeza Shangani FC

TIMU ya Yanga jana imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi za kirafiki baada ya kuwabugiza Shangani FC mabao 2-0 katika mechi iliyopigwa kwenye dimba la Aman, Visiwani hapa. Mabao ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja, Tegete wang’ara

‘Wametoa gundu’. Hicho ndicho unachoweza kusema kwa Jerryson Tegete na Genilson Santos ‘ Jaja’ walipofungia Yanga kwa mara ya kwanza, wakati Simba wameendeleza rekodi ya sare jijini Mbeya na Azam wakiambulia kipigo.

 

10 years ago

GPL

Mzee Tegete aivaa Yanga

Straika wa Yanga, Jerry Tegete. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya straika wa Yanga, Jerry Tegete kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi ugenini tangu kuanza kwa michuano ya Ligi Kuu Bara msimu huu ilipocheza dhidi ya Stand United ya Shinyanga, baba mzazi wa mchezaji huyo, Mzee John Tegete, ameuvaa uongozi wa klabu hiyo na kuutaka uache majungu. Tegete aliifungia Yanga mabao mawili ilipoitandika Stand United mabao 3-0,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani