Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazungumzo ya Gaza yasusiwa

Israil na Marekani hazitohudhuria mazungumzo ya kujadili usitishwaji wa mapigano Gaza na hakuna matumaini ya suluhu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Gaza:Mazungumzo yaendelea

Wawakilishi wa Israel na Palestina wanatarajiwa kukutana katika mji mkuu wa Cairo nchini Misri siku ya jumapili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo kuhusu Gaza sasa hatarini

Pande zote mbili katika mazungumzo ya kusitisha vita katika eneo la Gaza zimeonya kuwa mpango wa mazungumzo hayo upo hatarini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yasusiwa Olympic ya Walemavu

Wanasiasa na watu maarufu duniani wamesema hawatahudhuria mashindano ya Olympic ya walemavu 'Paralympic' ya majira ya baridi nchini Urisi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza yaahidiwa mamilioni

Wafadhili mjini Cairo wameahidi kutoa dola za kimarekani bilioni tano nukta nne kwa Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Amani ya Gaza ni muhimu

Netanyahu hatapumzika mpaka .hapo amani ya ukanda wa Gaza itakapopatikana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza yajadiliwa Cairo

Ujumbe wa Palestina katika mazungumzo ya amani, umesema usitishaji mapigano Gaza unaweza kuendelea kwa siku tano zaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto watekwa Gaza

Wapiganaji wa kundi la Hamas wamezuia kundi la watoto huko Gaza wengi wao wakiwa hawana wazazi.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN - Gaza inatishiwa kuangamizwa

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban Ki Moon, ameonya kuwa Gaza inatishiwa kuangamizwa na mashambulio yanayowalenga raia

 

11 years ago

BBCSwahili

UN:Waliokufa Gaza wengi ni raia

Umoja wa Mataifa umesema robo tatu ya Wapalestina waliouawa kwa mashambulizi yanayofanywa na Israel huko Gaza ni raia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani