Mazungumzo kuhusu Gaza sasa hatarini
Pande zote mbili katika mazungumzo ya kusitisha vita katika eneo la Gaza zimeonya kuwa mpango wa mazungumzo hayo upo hatarini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
UNICEF: Raia wapo hatarini Gaza
Mkuu wa shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF kwenye ukanda wa Gaza anasema kuwa raia wengi wamo hatarini.
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Gaza:Mazungumzo yaendelea
Wawakilishi wa Israel na Palestina wanatarajiwa kukutana katika mji mkuu wa Cairo nchini Misri siku ya jumapili.
11 years ago
BBCSwahili03 Aug
Mazungumzo ya Gaza yasusiwa
Israil na Marekani hazitohudhuria mazungumzo ya kujadili usitishwaji wa mapigano Gaza na hakuna matumaini ya suluhu
11 years ago
Mwananchi09 Aug
‘Wanawake sasa hatarini Arusha’
>Wanawake wanaoendesha magari katika Jiji la Arusha, wamekumbwa na hofu kutokana na kuibuka watu wasiojukikana ambao wanawashambulia kwa risasi.
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Ukawa sasa hatarini kufutwa
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) sasa upo hatarini kufutwa kutokana na kutuhumiwa kutumika kuwachochea wajumbe kufanya vurugu katika Bunge la Katiba.
10 years ago
Habarileo23 Dec
Hifadhi ya Ngorongoro sasa hatarini kutoweka
HIFADHI ya Taifa ya Ngorongoro imetajwa kuwa ipo hatarini kutoweka, kutokana na mwingiliano wa watu kuwa mkubwa huku idara nyingi zikiongozwa na watu wasiostahili kuongoza.
11 years ago
BBCSwahili24 Jan
Mazungumzo kuhusu Syria yanaendelea Geneva
Siku ya kwanza ya mazungumzo ya amani kati ya wawakilishi wa serikali ya Syria na waasi yanatarajiwa kuanza mjini Geneva nchini Uswizi
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Mazungumzo ya amani kuhusu Libya yaanza
Mazungumzo kuhusu Libya yalioidhinishwa na Umoja wa mataifa yameanza huko Geneva leo yanayonuiwa kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
10 years ago
MichuziMazungumzo na Salma Moshi kuhusu uchaguzi DMV
Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Mmoja wa wagombea hao, Salma Moshi amaketi nasi kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014 chini ya utayarishaji wa Vijimambo BlogKaribu uungane nasi kusikia anachopinga
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania