Mbabe wa vita mbioni nchini Somalia
Ahmed Dai alifanikiwa kutoroka,lakini wapiganaji kadhaa wa kundi lake walikamatwa na silaha zao kuchukuliwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Watu 3 wauawa katika vita Somalia
Mapigano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo katikati ya Somali yamesababisha vifo vya watu watatu.
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Vita vya kikabila vyatokota Somalia
Takriban watu 7 wameuawa nchini Somalia katika vita vya kikabila mkoa wa Galgaduud, katikati mwa Somalia.
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Hoteli yashambuliwa nchini Somalia
Hoteli moja karibu na makazi ya Rais katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu imeshambuliwa.
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
Wasiwasi kuhusu hali nchini Somalia
Maafisa wa Marekani na EU wanafanya mkutano wa dharura na Rais wa Somalia, Hassan Mohamoud, kujadili hali ya usalama inayoendelea kuzorota nchini humi.
11 years ago
BBCSwahili24 May
Waasi nchini Mali wasitisha vita
Waasi nchini Mali wamekubali kusitisha vita siku mbili baada ya kuvishinda vikosi vya serikali katika mji wa kazkazini wa kidal.
11 years ago
Mwananchi14 May
Mantra kushiriki vita ya ujangili nchini
 Kampuni ya Mantra Tanzania na Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii (Wildlife Division) zimesaini mkataba wa makubaliano ambao umelenga pande mbili kushirikiana katika kupiga vita ujangili wa tembo katika eneo la Kusini mwa Hifadhi ya Wanyamapori ya Selous.
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Vita vikali vyaendelea nchini Iraq
Mapigano yanaendelea katika mji uliopo kazkazini magharibi wa Tal Afar nchini Iraq
10 years ago
BBCSwahili26 Aug
Marekani yalaani vita nchini Libya
Marekani iliongoza mataifa ya Magharibi kulaani kuchacha kwa vita nchini Libya baada ya ndege zisizojulikana kulipua Tripoli
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia
Wanamgambo wa Al- shabab wamekuwa wakifanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi nchini Somalia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania