Vita vikali vyaendelea nchini Iraq
Mapigano yanaendelea katika mji uliopo kazkazini magharibi wa Tal Afar nchini Iraq
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Vita vikali vyaendelea kusini mwa Yemen
Makabiliano makali kati ya waasi wa Houthi na wanajeshi walio watiifu kwa rais wa Yemen Abd Rabbu Mansour Hadi, yanaendelea Aden
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Yemen:Vita vikali vyaendelea mjini Aden
Ripoti kutoka Yemen zinaarifu kuwa mapambano makali yanaendelea katika mtaa mmoja wa mji wenye bandari ya Aden
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Vita vikali vyazuka Yemen
Ripoti kutoka Yemen zinasema kuwa kumekuwa na vita vikali kati ya jeshi la taifa hilo na waasi wa ki-shia kazkazini mwa taifa
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Ni vita vikali Argentina vs Ubelgiji
Katika historia za kukutana Argentina imeshinda mara tatu katika mara nne zilipokutana wakati Ubelgiji ikishinda mara moja.
11 years ago
BBCSwahili29 May
Rais Goodluck atangaza vita vikali
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameagiza kufanywa oparesheni kali zaidi ili kudhibiti alichokiita mauaji ya kiholela yanayofanywa na magaidi.
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Vita vya Iraq:Bush na Clinton walaumiana
Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha Demokrat Hillary Clinton amemshtumu mpinzani wake kutoka chama cha Republican Jebb Bush kuhusu ni nani aliyesababisha msukosuko nchini Iraq.
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Mwanamke wa shoka aliyeripoti vita Iraq, Congo
Unaweza kumuelezea Valerie Msoka kwa maneno mafupi kuwa ni “mwanamke wa shokaâ€.
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Mwanzilishi wa IS auawa nchini Iraq
Runinga nchini Iraq zimeripoti kuwa Izzat Ibrahim al-Douri, ambaye wakati mmoja alikuwa makamu wa Rais Saddam Hussein na ambaye ametajwa kama nguzo ya mchipuko wa kundi la Islamic State nchini Iraq, ameuawa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania