Mwanamke wa shoka aliyeripoti vita Iraq, Congo
Unaweza kumuelezea Valerie Msoka kwa maneno mafupi kuwa ni “mwanamke wa shokaâ€.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Vita vikali vyaendelea nchini Iraq
Mapigano yanaendelea katika mji uliopo kazkazini magharibi wa Tal Afar nchini Iraq
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Vita vya Iraq:Bush na Clinton walaumiana
Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha Demokrat Hillary Clinton amemshtumu mpinzani wake kutoka chama cha Republican Jebb Bush kuhusu ni nani aliyesababisha msukosuko nchini Iraq.
10 years ago
GPL
Yanga Shoka
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Sweetbert Lukonge na Derick Lwasye, Mbeya
KAZI ya Yanga hivi sasa ni kama shoka! Kikosi hicho cha Kocha Hans van Der Pluijm kimeshinda michezo mitatu mfululizo kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuibugiza Tanzania Prisons mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa, jana. Ushindi huo umeifanya Yanga ikwee kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, ikifikisha pointi 28, ikiwa imewafunika...
11 years ago
GPL
UKWELI MWANAUME ALIYEZAMISHWA SHOKA
Stori: Mashaka Baltazar, Mwanza
KATIKA Gazeti la Risasi Jumamosi Toleo la Julai 26, 2014 ukurasa wake wa mbele kulikuwa na kichwa cha habari kisemacho; Bw. Oka Constantine (35) akiwa amejeruhiwa na sururu. TUKIO LA KUTISHA!
Habari hiyo ilimhusu mwanaume mmoja ambaye jina halikupatikana kuwa alipigwa shoka (baadaye ilibainika ni sururu) hadi kuzama kichwani upande wa kushoto kwa madai ya kufumaniwa na mke wa mtu katika eneo...
11 years ago
GPL
KIONGOZI CCM AUAWA KWA SHOKA!
Stori: Haruni Sanchawa na Gabriel Ng’osha
KIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Shina Namba 30, Kigamboni Kisiwani jijini Dar, Bernadetha Shabani (53) amefariki dunia baada ya kupigwa shoka la kichwa na anayedaiwa kuwa ni mpangaji wake aliyefahamika kwa jina la Shija Ng’waya (33). Bernadetha Shabani enzi za uhai wake. Tukio hilo la kikatili lilijiri Mei 5, mwaka huu nyumbani kwa marehemu, Kigamboni jijini Dar es...
10 years ago
Habarileo28 Jan
Auawa kwa shoka, anyofolewa ulimi
IMANI ya ushirikina, ajali na vitendo vya ukatili dhidi ya binadamu vimesababisha wananchi wa mikoa ya Mbeya kugubikwa na simanzi kutokana na mauaji ya kutisha.
11 years ago
GPL
TUKIO LA KUTISHA BONGO: MWANAUME AZAMISHWA SHOKA KICHWANI
Na Mwandishi Wetu
NI tukio la kutisha! Tukio hilo linadaiwa kutokea jijini Mwanza ambapo mwanaume mmoja (jina halikupatikana mara moja) amepigwa shoka la upande wa kushoto wa kchwa na kuzama ndani ikidaiwa ni sababu ya kufumaniwa. Mgonjwa akiwa wodini na shoka kichwani. Picha za tukio hilo zilitumbukizwa mitandaoni na mtu anayedaiwa ni daktari aliyekuwa akimfanyia upasuaji mtuhumiwa huyo. TAARIFA FUPI
Kwenye mitandao ya...
11 years ago
GPL
HARUSI YA KUKATA NA SHOKA YA MUSSA & THUWAIBA GOLDEN JUBILEE TOWER!
Nenda kajionee mwenyewe jinsi mambo yalivyokuwa siku ya harusi ya Mussa na Thuwaiba. BONYEZA …
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville
DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika semi fainali ya mechi za kombe la Afrika.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
19-February-2025 in Tanzania