Yanga Shoka

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Sweetbert Lukonge na Derick Lwasye, Mbeya KAZI ya Yanga hivi sasa ni kama shoka! Kikosi hicho cha Kocha Hans van Der Pluijm kimeshinda michezo mitatu mfululizo kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuibugiza Tanzania Prisons mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa, jana. Ushindi huo umeifanya Yanga ikwee kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, ikifikisha pointi 28, ikiwa imewafunika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UKWELI MWANAUME ALIYEZAMISHWA SHOKA
10 years ago
Habarileo28 Jan
Auawa kwa shoka, anyofolewa ulimi
IMANI ya ushirikina, ajali na vitendo vya ukatili dhidi ya binadamu vimesababisha wananchi wa mikoa ya Mbeya kugubikwa na simanzi kutokana na mauaji ya kutisha.
11 years ago
GPL
KIONGOZI CCM AUAWA KWA SHOKA!
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Mwanamke wa shoka aliyeripoti vita Iraq, Congo
11 years ago
GPL
TUKIO LA KUTISHA BONGO: MWANAUME AZAMISHWA SHOKA KICHWANI
11 years ago
GPL
HARUSI YA KUKATA NA SHOKA YA MUSSA & THUWAIBA GOLDEN JUBILEE TOWER!
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka