Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanzilishi wa IS auawa nchini Iraq

Runinga nchini Iraq zimeripoti kuwa Izzat Ibrahim al-Douri, ambaye wakati mmoja alikuwa makamu wa Rais Saddam Hussein na ambaye ametajwa kama nguzo ya mchipuko wa kundi la Islamic State nchini Iraq, ameuawa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IS yashambuliwa Iraq,kiongozi mkuu auawa

Waziri wa ulinzi wa Iraqi amesema kwamba kiongozi wa pili wa ngazi ya juu wa IS, ameuawa katika mashambulio ya anga

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita vikali vyaendelea nchini Iraq

Mapigano yanaendelea katika mji uliopo kazkazini magharibi wa Tal Afar nchini Iraq

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambulia Tikrit nchini Iraq

Ndege za kijeshi za Marekani zimeanza kutekeleza mashambulizi makali, katika maeneo yenye wanamgambo wa Islamic State, huko Tikrit

 

10 years ago

BBCSwahili

USA:hatutashirikiana na Iran nchini Iraq

Marekani imesema kuwa haina mpango wa kushirikiana na Iran kukabiliana na wapiganaji wa Islamic State.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa IS wauteka mji nchini Iraq

Marekani imethibitisha kuwa wanamgambo wa Islamic State wameuteka mji wa Ali Baghdadi ulio mashariki mwa Iraq

 

10 years ago

GPL

IS WAUA RAIA 300 WA YAZIDI NCHINI IRAQ

Raia wa Yazidi waishio nchini Iraq. KUNDI la wanamgambo wa Islamic State limewaua mateka takribani 300 ambao ni raia wa Yazidi kaskazini mwa Iraq.
Makamu wa rais nchini Iraq, Osama al-Nujifi ameyalaani mauaji hayo akiyataja kuwa ya kikatili. Taarifa zimeeleza kuwa watu hao waliuawa katika wilaya moja iliyo magharibi mwa mji wa Mosul siku ya Ijumaa. Wanamgambo wa Islamic State walithibiti maeneo yaliyo kaskazini mwa Iraq kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yawaua raia 300 wa Yazidi nchini Iraq

Maafisa nchini Iraq wanasema kuwa wanamgambo wa IS wamewaua mamia ya watu wa yazidi waliokuwa wakiwazuilia eneo lililo kaskazini mwa nchi.

 

10 years ago

GPL

ISIS WAWACHINJA WAPELELEZI WATATU MTAANI NCHINI IRAQ

Mmoja wa wapelelezi hao akichinjwa na mpiganaji wa ISIS. Mpiganaji huyo wa ISIS akimchinja mpelelezi mwingne. Pembeni kushoto ni mwili wa mwenzake. WATU watatu wanaodaiwa kuwa wapelelezi wameuawa kwa kuchinjwa na wapiganaji wa Kundi la ISIS nchini Iraq. Watu hao wanatuhumiwa kwa kulipepeleza kundi hilo kwa ajili ya serikali ya Iraq.…

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA DOLA YA KIISLAM LAUTWAA MJI WA RAMADI NCHINI IRAQ


Mji wa Ramadi nchini Irak umetwaliwa na wapiganaji wa kundi la Dola ya Kiislam baada ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo kuzidiwa nguvu na kuondoka.

Vikosi vya askari polisi na jeshi la Irak vimelazimika kurudi nyuma baada ya siku kadhaa za mapigano makali.
Hata hivyo Marekani, imekanusha kutwaliwa kwa mji huo na kusema kuwa hali ni tete na kuongeza kuwa bado ni mapema mno kutoa taarifa ya uhakika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani