IS yashambuliwa Iraq,kiongozi mkuu auawa
Waziri wa ulinzi wa Iraqi amesema kwamba kiongozi wa pili wa ngazi ya juu wa IS, ameuawa katika mashambulio ya anga
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Mwanzilishi wa IS auawa nchini Iraq
Runinga nchini Iraq zimeripoti kuwa Izzat Ibrahim al-Douri, ambaye wakati mmoja alikuwa makamu wa Rais Saddam Hussein na ambaye ametajwa kama nguzo ya mchipuko wa kundi la Islamic State nchini Iraq, ameuawa.
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan
Kiongozi mwandamizi wa kundi la Al Qaeda anayeshukiwa kupanga kulipuwa treni mijini New York na London ameuawa nchini Pakistan
10 years ago
BBCSwahili24 May
Kiongozi wa upinzani auawa Burundi
Kiongozi wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Kiongozi wa NCCR auawa Serengeti
>Kamishna wa NCCR-Mageuzi Mkoa wa Mara, Stephen Sebeki ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na mtu anayedaiwa kuwa ni hawara wa shemeji yake, chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa nyasi za kuezekea.
10 years ago
BBCSwahili28 Feb
Kiongozi wa upinzani auawa Urusi
Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Urusi Boris Nemtsov ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Moscow.
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Kiongozi wa Al shabab auawa Somalia
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema imethibitisha kuwa shambulio la ndege la wiki iliyopita nchini Somalia dhidi ya Al Shabab.
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia
Kongozi mmoja wa kundi la Al Shabaab Abdirahman Sandhere ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Kiongozi wa dini auawa nchi Kenya
Watu wasiojulikani kwenye mji wa pwani nchini Kenya ,Mombasa wamemuua kwa kumpiga risasi kiongozi mashuhuri wa dini ya kislamu.
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Kiongozi wa mashtaka nchini Misri auawa
Kiongozi wa mashtaka nchini Misri Hisham Barakat amefariki kutokana na majeraha aliopata baada ya bomu kulipua gari lake mjini Cairo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania