Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa dini auawa nchi Kenya

Watu wasiojulikani kwenye mji wa pwani nchini Kenya ,Mombasa wamemuua kwa kumpiga risasi kiongozi mashuhuri wa dini ya kislamu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kiongozi wa dini asisitiza uadilifu

KIONGOZI wa Kanisa la Gospel Light Ministries International, Mchungaji Julius Nyange amewataka Watanzania kutokuwa mashabiki wa wagombea, badala yake wawe mstari wa mbele kupiga kura na kuchagua kiongozi anayefaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al shabab auawa Somalia

Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema imethibitisha kuwa shambulio la ndege la wiki iliyopita nchini Somalia dhidi ya Al Shabab.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia

Kongozi mmoja wa kundi la Al Shabaab Abdirahman Sandhere ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan

Kiongozi mwandamizi wa kundi la Al Qaeda anayeshukiwa kupanga kulipuwa treni mijini New York na London ameuawa nchini Pakistan

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani auawa Burundi

Kiongozi wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani auawa Urusi

Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Urusi Boris Nemtsov ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Moscow.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa NCCR auawa Serengeti

>Kamishna wa NCCR-Mageuzi Mkoa wa Mara, Stephen Sebeki ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na mtu anayedaiwa kuwa ni hawara wa shemeji yake, chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa nyasi za kuezekea.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiongozi wa dini anatumikiaje mabwana wawili?

“TANZANIA tuna bahati ya kuwa na mfumo wa siasa na serikali usiofungamana na dini yoyote huku kila mmoja akiwa na uhuru wa kuabudu katika dini yoyote aitakayo, lakini sikubaliani na...

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI CCM AUAWA KWA SHOKA!

Stori: Haruni Sanchawa na Gabriel Ng’osha
KIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Shina Namba 30, Kigamboni Kisiwani jijini Dar, Bernadetha Shabani (53) amefariki dunia baada ya kupigwa shoka la kichwa na anayedaiwa kuwa ni mpangaji wake aliyefahamika kwa jina la Shija Ng’waya (33). Bernadetha Shabani enzi za uhai wake. Tukio hilo la kikatili lilijiri Mei 5, mwaka huu nyumbani kwa marehemu, Kigamboni jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani