Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita vya kikabila vyatokota Somalia

Takriban watu 7 wameuawa nchini Somalia katika vita vya kikabila mkoa wa Galgaduud, katikati mwa Somalia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Vita vya kikabila:Watu 45 wauawa Nigeria

Takriban watu 45 wameuawa kwenye mapambano ya kikabila katika jimbo la Benue, katikati mwa Nigeria.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18

Marekani na washirika wake wa Nato wamekubaiana kuondoa vikosu vyote ikiwa Talibanitatimiza ahadi yake

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbabe wa vita mbioni nchini Somalia

Ahmed Dai alifanikiwa kutoroka,lakini wapiganaji kadhaa wa kundi lake walikamatwa na silaha zao kuchukuliwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 3 wauawa katika vita Somalia

Mapigano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo katikati ya Somali yamesababisha vifo vya watu watatu.

 

9 years ago

Global Publishers

Hii ndiyo Kambi ya Jeshi la Uingereza  kwenye Vita vya Kwanza vya Dunia

WW1 (1) WW1 (2) WW1 (3) WW1 (4) WW1 (5) WW1 (6) WW1 (7) WW1 (8) WW1 (9) WW1 (10) WW1 (11) WW1 (12) WW1 (13) WW1 (14) WW1 (15) WW1 (16) WW1 (17) WW1 (18) WW1 (19) WW1 (20)Ufaransa

Mashimo ya kupenya ndani kwa ndani chini ya ardhi yamevumbuliwa kwenye machimbo ya chokaa Kaskazini mwa Ufarasa na yanasadikika kuwa wanajeshi wa Uingereza waliishi humo wakati wa mapigano ya Vita vya Kwanza vya Dunia (WW1) vilivyofanyika kati ya waka 1914 hadi 1918.

Ndani ya mashimo hayo kumekutwa miamba migumu ambayo imeandikwa majina ya wapiganaji wa WW1 waliokufa na kuzikwa mule. Pia kuna makanisa ambamo waliabudu, mabaki ya gari na baiskeli za zamani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Japan inajutia vita vya pili vya dunia

Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe, ameeleza kusikitishwa kwake na mateso na kujitolea kwa watu wengi wakati wa vita vya pili vya dunia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10

Takriban watu 10 wamepigwa risasi na kuuawa baada ya makundi mawili kutofautiana kuhusu jogoo yupi aliyeibuka mshindi katika vita katika jimbo la Guerrero Mexico.

 

11 years ago

BBCSwahili

Karne baada Vita vya Kwanza vya Dunia

Bara la Ulaya linaadhimisha mauaji ya mtoto wa mfalme ambayo yalichochea Vita vya Kwanza vya Dunia kuzuka

 

10 years ago

Mwananchi

Baraza la Kenyatta na jicho la kikabila

Wamasai walirukaruka huku makanisa na mashirika mengine wakionyesha kutoridhishwa na matukio ya wiki moja iliyopita katika ulingo wa kisiasa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani