Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBALI NA MVUA KUPUNGUA, BARABARA YA IFAKARA - MLIMBA BADO KIMEO

Magari yakiwa yamekwama katika barabara ya Ifakara - Mlimba mkoani Morogoro. MBALI na mvua kupungua katika maeneo mbalimbali ya nchi, bado hali si nzuri kwa watumiaji wa barabara ya Ifakara kwenda Mlimba mkoani Morogoro baada ya magari kukwama kwenye barabara hiyo ambayo bado imejaa tope. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO NA UNGEPENDA LITOKEE KATIKA TOVUTI HII, TUTUMIE KUPITIA NAMBA YETU… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Barabara ya Ifakara - Mlimba kuwekwa lami

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey ZambiNAIBU Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi alisema Serikali imedhamiria kujenga barabara ya Ifakara - Mlimba katika kiwango cha lami kutokana na umuhimu wake wa uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula nchini.

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WADAU WA SEKTA MBALI MBALI KUJADILI UTABIRI WA MVUA ZA MSIMU KWA MWEZI MACHI MPAKA MEI (MASIKA)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbali mbali katika mkutano wa wadau wa utabiri wa mvua za msimu wa MASIKA kwa mwezi Machi mpaka Mei 2014.
Kila mwaka mwezi Februari kabla ya kutoa utabiri wa msimu Mamlaka hukutana na wadau wa sekta mbali mbali nchini ili kujadili utabiri wa msimu huo wa mvua za MASIKA kwa kipindi cha miezi ya Machi hadi Mei na kuwapa wadau nafasi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Makali ya mvua Dar kupungua kuanzia J’mosi

Mkuu wa Huduma za Hali ya Hewa kwa jamii wa TMA,  Hellen MsemoMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za mfululizo zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zitaendelea kunyesha na kwamba zinatarajia kupungua mwishoni mwa wiki hii.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wasp-76b: Sayari ya mbali ambapo 'mvua hunyesha ya vyuma'

Wataalamu wa anga za juu Mwezi Machi waligundua sayari ilio mbali ambapo huenda kuna mvua ya vyuma.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yakata mawasiliano ya barabara

>Mamia ya abiria wakiwamo watalii waliokuwa wakisafiri kutoka mkoani Arusha kwenda Ngorongoro na Serengeti mkoani Manyara, wameshindwa kukamilisha safari zao baada ya Daraja la Kirurumo lililoko katika Mto wa Mbu wilayani Monduli kukatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu barabara Tanga

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini imesababisha kusombwa daraja, kuharibu barabara na kuzolewa nyumba katika Wilaya tatu za Mkoa wa Tanga.

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yakata barabara Dar - Arusha

Gari likijaribu kupita katika sehemu ya barabara iliyofunikwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha katika kijiji cha Mgagao, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro jana. (Picha na Mroki Mroki).MVUA kubwa zilizonyesha usiku wa kuamkia jana mkoani Kilimanjaro, zimekata mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es Salaam-Arusha na kusababisha magari kukwama kwa saa nane Hedaru wilayani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani