Mbaroni wakituhumiwa kwa mauaji, kuchoma makanisa
POLISI mkoani Kagera imewakamata watu watatu wanaotuhumiwa kujihusisha na matukio mbalimbali ya mauaji na uchomaji moto makanisa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa matukio hayo yalikuwa yakifanyika mfululizo tangu mwaka 2013 hadi Novemba Mosi mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Saba mbaroni kwa tuhuma za kuchoma makanisa Bukoba
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Mwenyekiti wa CUF Bukoba na wengine 15 mbaroni kwa tuhuma za kuchoma makanisa
9 years ago
Mwananchi28 Oct
100 watiwa mbaroni kwa kuchoma ofisi ya Serikali
11 years ago
Habarileo02 Jul
Mbaroni wakituhumiwa kumuua sista
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu nane wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi sugu. Wawili kati yao wanahusishwa na tukio la kuuawa kwa Sista Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika Parokia ya Makoka.
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Watu 13 mbaroni kwa mauaji ya Kiteto
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Askari sita mbaroni kwa mauaji
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Kigogo mbaroni kwa mauaji ya albino
NA PETER FABIAN, MWANZA
KIONGOZI wa chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza (jina tunalo) anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na uhalifu wa utengenezaji wa noti bandia, utekaji na mauaji ya albino katika maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA kutoka vyanzo vyetu vya habari zimesema kuwa kigogo huyo alikamatwa wilayani Magu Februari 26, mwaka huu saa 7:00 usiku.
Kigogo huyo ambaye anadaiwa kuhusishwa na utekaji wa mauaji ya albino alikamatwa baada...
10 years ago
Habarileo02 Jan
Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji
ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.
10 years ago
Habarileo05 Feb
Watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mwanamke ambao wote ni wakazi wa Kijiji cha Mkindo wilayani Mvomero mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Huruma Naloloi (32) mkazi wa Mikocheni, Kata ya Dakawa kwa kutumia bunduki na kumpora pikipiki yake.