Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbegu mbovu zatengeneza mafuta ya kula Mara

Baadhi ya viwanda Mikoa ya Mara na Mwanza vinadaiwa kutumia mbegu za pamba zilizooza kwa ajili ya kuzalisha mafuta ya kula, hali ambayo inahatarisha afya za watumiaji wa mafuta hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mbegu mbovu hazioti kwenye udongo wa rutuba

KUNA usemi wa wazi kabisa, uliozoeleka ama kutamkwa na wajanja wachache wanaosema kuwa ‘Wajinga ndio waliwao’ ni rahisi sana kumtendea jambo mbaya binadamu mwenzako hasa unapodiriki kutamka kuwa huyo unayemfanyia...

 

9 years ago

Mtanzania

Mimba yamfanya Kim Kardashian kula mara kwa mara

kim-kardashianNEW YORK, MAREKANI

MKE wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Kim Kardashian, ameweka wazi kwamba anashindwa kula kwa mpangilio kwa kuwa huwa anahisi njaa mara kwa mara.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 35, anatarajia kupata mtoto wa pili, awali mrembo huyo alikuwa akifuata ratiba ya mlo kamili lakini kwa sasa imeshindikana.

“Kwa hatua niliyofikia kwa sasa nahisi mtoto nitakayejifungua atakuwa anakula sana kama ninavyokula mimi mara kwa mara bila kuwa na mpangilio wa chakula,”...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wa pamba Mara wagomea mbegu za manyoya

WAKULIMA wa pamba wa Mara wameiomba Bodi ya Pamba kuwasambazia mbegu zisizo na manyoya kwa sababu ndizo zinazoota kwa urahisi na kwa wakati muafaka katika maeneo yao.

 

11 years ago

Habarileo

Mafuta ya kula yaliyo juani sumu

WANANCHI wametakiwa kuacha kununua mafuta ya kula, yanayouzwa yakiwa yamewekwa juani, kutokana na kuwa na athari kubwa kiafya, ikiwemo kusababisha ugonjwa wa saratani. Mkaguzi wa Chakula kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati, Albert Deule alisema hayo juzi wakati akijibu maswali ya washiriki wa mafunzo kwa wajasiriamali wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kibaigwa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATINGA OFISINI LEO MARA BAADA YA KULA KIAPO

Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kwenye ofisi yake mpya wizarani hapo, alipowasili kwa mara ya kwanza mara baada ya kula kiapo ikulu, jijini Dar es Salaam leo. Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, kuongea na Viongozi wa Wizara na watendaji wa Taasisi zilizo chini ya...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA KILIMO YAWAPONGEZA WATAFITI WA MBEGU ZA MICHIKICHI KWA KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyeshika miche ) akikagua kitalu cha miche ya michikichi inayozalishwa na Gereza Kwitanga kwa ushirikiano na TARI Kihinga.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa mchikichi uliozalishwa na Kituo cha utafiti TARI Kihinga mkoa wa Kigoma leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akikagua kitalu cha miche bora ya zao la michikichi katika Gereza Kwitanga mkoa wa Kigoma leo alipotembelea kuona utekelezaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.Ofisa Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.Wanahabari wakiwa kwenye mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani