Mafuta ya kula yaliyo juani sumu
WANANCHI wametakiwa kuacha kununua mafuta ya kula, yanayouzwa yakiwa yamewekwa juani, kutokana na kuwa na athari kubwa kiafya, ikiwemo kusababisha ugonjwa wa saratani. Mkaguzi wa Chakula kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati, Albert Deule alisema hayo juzi wakati akijibu maswali ya washiriki wa mafunzo kwa wajasiriamali wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kibaigwa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Watu 300 wahofiwa kula sumu Bulyanhulu
9 years ago
Bongo510 Nov
Mr Nice azungumzia tukio la kula chakula chenye sumu
![11821809_1675578409323823_1553764896_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11821809_1675578409323823_1553764896_n-300x194.jpg)
Mr Nice amesema hakupenda kulichukulia tukio la kula chakula chenye sumu kama kiki ya muziki kutokana na tukio hilo kutaka kumtoa maisha yake.
Akizungumza na Nje ya Box ya Planet Bongo, EA Radio jana, Mr Nice alisema mpaka anapona hakujua ni nani aliyefanya tukio hilo na ni kwa nia gani.
“Yeah sikutaka kuongea na vyombo za habari kwa sababu ni kitu ambacho kilikuwa moja kwa moja kinaathiri maisha yangu,” alisema.
“Nikaona huu ni wakati wa kukaa na kutatua matatizo yangu kwa kuangalia ni...
9 years ago
Bongo Movies14 Nov
JB Afunguka Kula Chakula Chenye Sumu Yeye na Steve Nyerere
Wasanii wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ na Steve Nyerere wikiendi iliyopita inasemekana walikula chakula chenye sumu,ambapo mpaka sasa Steve Nyerere bado amelazwa hospitali.
B amezungumza na 255 kupitia XXL na kusema hivi:
‘’Siku ya Ijumaa tulikula kitimoto na vyakula tofauti tofauti sasa asubuhi yake ndio tumbo likaanza kuniuma niliendesha sana nikaenda hospitali nikapewa dawa nilivyokunywa hazikunisaidia usiku wake tumbo likaniuma sijawahi kuumwa tumbo kama nilivyoumwa siku ile...
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Mbegu mbovu zatengeneza mafuta ya kula Mara
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Tu_Wfn9DwS0/default.jpg)
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Saudi Arabia yakataza vibarua juani
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Saa 12 kila siku juani na bango la Lowassa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QbVG8j9Pigs/XnoLobxxUWI/AAAAAAALk7I/UsbzlPGrCb0PYscPOxcci_O9R_wkFi0MQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-24%2Bat%2B4.00.38%2BPM.jpeg)
MAKUNDI YALIYO KARIBU KUPATA MAAMBUKIZI YA KIFUA KIKUU YATAJWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-QbVG8j9Pigs/XnoLobxxUWI/AAAAAAALk7I/UsbzlPGrCb0PYscPOxcci_O9R_wkFi0MQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-24%2Bat%2B4.00.38%2BPM.jpeg)
Charles James, Globu ya JamiiKUTOKANA na kuwa na kinga dhaifu makundi ya wazee, watoto na watu wenye magonjwa ya kurithi wapo kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu.
Akizungumza jijini Dodoma leo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani, Dk Peres Lukango ambaye ni mratibu wa kifua kikuu na ukoma ngazi ya...