Mr Nice azungumzia tukio la kula chakula chenye sumu
Mr Nice amesema hakupenda kulichukulia tukio la kula chakula chenye sumu kama kiki ya muziki kutokana na tukio hilo kutaka kumtoa maisha yake.
Akizungumza na Nje ya Box ya Planet Bongo, EA Radio jana, Mr Nice alisema mpaka anapona hakujua ni nani aliyefanya tukio hilo na ni kwa nia gani.
“Yeah sikutaka kuongea na vyombo za habari kwa sababu ni kitu ambacho kilikuwa moja kwa moja kinaathiri maisha yangu,” alisema.
“Nikaona huu ni wakati wa kukaa na kutatua matatizo yangu kwa kuangalia ni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies14 Nov
JB Afunguka Kula Chakula Chenye Sumu Yeye na Steve Nyerere
Wasanii wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ na Steve Nyerere wikiendi iliyopita inasemekana walikula chakula chenye sumu,ambapo mpaka sasa Steve Nyerere bado amelazwa hospitali.
B amezungumza na 255 kupitia XXL na kusema hivi:
‘’Siku ya Ijumaa tulikula kitimoto na vyakula tofauti tofauti sasa asubuhi yake ndio tumbo likaanza kuniuma niliendesha sana nikaenda hospitali nikapewa dawa nilivyokunywa hazikunisaidia usiku wake tumbo likaniuma sijawahi kuumwa tumbo kama nilivyoumwa siku ile...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3ydo-rPuK9qpEkwt57hWXr*lKHlGk4K5OID9eWdwRwuK8pxu7pDi5BFXi0tHVYIiQGCTC8iM85TkmtXVUPefkosso3YhQXNX/nice.jpg?width=650)
A-Z MR. NICE KULISHWA SUMU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSbIP0ZEp5s39I0DBJx3juXykGguAgBAtn6bvnx0bspb7muDggfrjj0BVeHkmfQMgJIZpIFhObilfaUjtGc6jRAg/soya.jpg?width=650)
SOYA: CHAKULA CHENYE KINGA NA TIBA
11 years ago
Habarileo03 May
Mafuta ya kula yaliyo juani sumu
WANANCHI wametakiwa kuacha kununua mafuta ya kula, yanayouzwa yakiwa yamewekwa juani, kutokana na kuwa na athari kubwa kiafya, ikiwemo kusababisha ugonjwa wa saratani. Mkaguzi wa Chakula kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati, Albert Deule alisema hayo juzi wakati akijibu maswali ya washiriki wa mafunzo kwa wajasiriamali wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kibaigwa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Watu 300 wahofiwa kula sumu Bulyanhulu
11 years ago
Bongo502 Aug
Dude azungumzia taarifa za gari lake kuhusishwa na tukio la ujambazi
11 years ago
CloudsFM03 Jul
KAMANDA WA POLISI KINONDONI AZUNGUMZIA TUKIO LA BASI LA MAGEREZA KUSHAMBULIWA KWA RISASI
GARI la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu likitokea Mahakama ya Mwanzo Kawe kwenda Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, limeshambuliwa kwa risasi na mtu asiyefahamika.Wakati tukio hilo likitokea jana mchana maeneo ya Mikocheni na kusababisha askari Magereza wawili, akiwemo dereva na mahabusu kujeruhiwa, aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat, alifariki dunia kwa kujipiga risasi.
Kamanda wa Polisi, mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, akithibitisha tukio la gari la...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1JmUnR4Z2cE/VRnDbsKGSGI/AAAAAAAHOd8/Ik-DtqiZEco/s72-c/unnamedg.jpg)
UPDATES: TAARIFA YA NYONGEZA/UFAFANUZI YA TUKIO LA KULA NJAMA NA KUJARIBU KUMTOROSHA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AKIWA HOSPITALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-1JmUnR4Z2cE/VRnDbsKGSGI/AAAAAAAHOd8/Ik-DtqiZEco/s1600/unnamedg.jpg)
Ufafanuzu ni kama ifuatavyo:
Uchunguzi wa kina na wa kitaalam sasa umethibitisha kwamba silaha hiyo inamilikiwa kihalali na Askofu Josephat Gwajima. Kuhusu risasi 17 za Short Gun ni kwamba Askofu Gwajima anamiliki Bunduki...