Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOYA: CHAKULA CHENYE KINGA NA TIBA

Mpendwa msomaji. Bado tupo katika kudadavua faida za kiafya zitokanazo na chakula. Leo, tutaizungumzia Soya ambayo ni maarufu sana nchini lakini kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa ni chakula chenye tiba ndani yake. Ajabu ya chakula hiki ni pale kinapompa nguvu mgonjwa haraka bila kujali aina ya ugonjwa anaoumwa. Katika ulimwengu wa vyakula, kuna maajabu mengi katika kukitumia chakula kama tiba na kinga ya maradhi. Mwaka 1999,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mr Nice azungumzia tukio la kula chakula chenye sumu

11821809_1675578409323823_1553764896_n

Mr Nice amesema hakupenda kulichukulia tukio la kula chakula chenye sumu kama kiki ya muziki kutokana na tukio hilo kutaka kumtoa maisha yake.

11821809_1675578409323823_1553764896_n

Akizungumza na Nje ya Box ya Planet Bongo, EA Radio jana, Mr Nice alisema mpaka anapona hakujua ni nani aliyefanya tukio hilo na ni kwa nia gani.

“Yeah sikutaka kuongea na vyombo za habari kwa sababu ni kitu ambacho kilikuwa moja kwa moja kinaathiri maisha yangu,” alisema.

“Nikaona huu ni wakati wa kukaa na kutatua matatizo yangu kwa kuangalia ni...

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Afunguka Kula Chakula Chenye Sumu Yeye na Steve Nyerere

Wasanii wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ na Steve Nyerere wikiendi iliyopita inasemekana walikula chakula chenye sumu,ambapo mpaka sasa Steve Nyerere bado amelazwa hospitali.

B amezungumza na 255 kupitia XXL na kusema hivi:

‘’Siku ya Ijumaa tulikula kitimoto na vyakula tofauti tofauti sasa asubuhi yake ndio tumbo likaanza kuniuma niliendesha sana nikaenda hospitali nikapewa dawa nilivyokunywa hazikunisaidia usiku wake tumbo likaniuma sijawahi kuumwa tumbo kama nilivyoumwa siku ile...

 

11 years ago

Mwananchi

Tiba, kinga ya Ukimwi vyanukia

>Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti za awali duniani.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Tiba na kinga ya UKIMWI zinakuja

WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti za awali duniani. Dawa yao inaweza kutumika kwa tiba ya wanaoishi na VVU na kinga kwa wale ambao bado hawajaambukizwa. Mmoja wa watafiti hao, Dk Kamel Khalili aliwaambia waandishi wa habari mjini Philadelphia, Marekani kuwa tofauti na utafiti mwingine, wao wamegundua namna ya kukiondoa kirusi...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UZIKWASA LATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA WILAYA YA PANGANI


Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange na kulia ni Mkurugenzi wa Halmashsuri ya wilaya ya Pangani Isaya Mbenje
Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu...

 

5 years ago

Michuzi

Madaktari wa Kichina watoa mafunzo ya kinga na tiba ya ugonjwa wa corona Sudan

 Timu ya madaktari 35 wa Kichina wanaendelea na kampeni yao ya kutoa mafunzo mjini Khartoum, Sudan, juu ya jinsi ya kuepuka maambukizi ya virusi hatari vya corona na njia za kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi hivyo.

Maafisa zaidi ya 50 wa afya nchini Sudan wanashiriki katika zoezi hilo ambalo lengo lake kuu ni kuchukua hatua za haraka za kuzuia na kutibu ugonjwa huo hatari.

Mmoja wa madaktari hao kutoka China, Li Changhong, amesema kuwa, timu yake ina mawasiliano ya karibu...

 

5 years ago

Michuzi

WORLD VISION TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA KUWAKINGA NA CORONA WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA


Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa vifaa tiba na kinga vyenye thamani ya shilingi milioni 29 kwa ajili ya kusaidia watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Shinyanga kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona ‘Covid 19’ wanapohudumia wagonjwa.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 8, 2020 na Meneja wa World Vision Tanzania Kanda ya Ziwa John Massenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Massenza alisema wao kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani