Tiba, kinga ya Ukimwi vyanukia
>Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti za awali duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii24 Jul
Tiba na kinga ya UKIMWI zinakuja
WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti za awali duniani.
Dawa yao inaweza kutumika kwa tiba ya wanaoishi na VVU na kinga kwa wale ambao bado hawajaambukizwa.
Mmoja wa watafiti hao, Dk Kamel Khalili aliwaambia waandishi wa habari mjini Philadelphia, Marekani kuwa tofauti na utafiti mwingine, wao wamegundua namna ya kukiondoa kirusi...
11 years ago
GPL
SOYA: CHAKULA CHENYE KINGA NA TIBA
Mpendwa msomaji. Bado tupo katika kudadavua faida za kiafya zitokanazo na chakula. Leo, tutaizungumzia Soya ambayo ni maarufu sana nchini lakini kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa ni chakula chenye tiba ndani yake. Ajabu ya chakula hiki ni pale kinapompa nguvu mgonjwa haraka bila kujali aina ya ugonjwa anaoumwa. Katika ulimwengu wa vyakula, kuna maajabu mengi katika kukitumia chakula kama tiba na kinga ya maradhi. Mwaka 1999,...
5 years ago
MichuziMadaktari wa Kichina watoa mafunzo ya kinga na tiba ya ugonjwa wa corona Sudan
Maafisa zaidi ya 50 wa afya nchini Sudan wanashiriki katika zoezi hilo ambalo lengo lake kuu ni kuchukua hatua za haraka za kuzuia na kutibu ugonjwa huo hatari.
Mmoja wa madaktari hao kutoka China, Li Changhong, amesema kuwa, timu yake ina mawasiliano ya karibu...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA UZIKWASA LATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA WILAYA YA PANGANI
Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange na kulia ni Mkurugenzi wa Halmashsuri ya wilaya ya Pangani Isaya Mbenje
Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu...
10 years ago
MichuziWARSHA YA STADI ZA MAISHA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI YAFANYIKA JIJINI MWANZA
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Wagundua tiba ya Ukimwi
Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika.
5 years ago
MichuziWORLD VISION TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA KUWAKINGA NA CORONA WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA
Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa vifaa tiba na kinga vyenye thamani ya shilingi milioni 29 kwa ajili ya kusaidia watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Shinyanga kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona ‘Covid 19’ wanapohudumia wagonjwa.
Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 8, 2020 na Meneja wa World Vision Tanzania Kanda ya Ziwa John Massenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Massenza alisema wao kama...
5 years ago
Michuzi
UZALISHAJI WA VAZI KINGA (PPE) MUHIMBILI WAONGEZEKA KWA 400% HUKU MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) IKIRIDHIA NA KULITAMBUA




10 years ago
StarTV15 Aug
Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.
Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.
Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.
Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania