Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tiba na kinga ya UKIMWI zinakuja

WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti za awali duniani. Dawa yao inaweza kutumika kwa tiba ya wanaoishi na VVU na kinga kwa wale ambao bado hawajaambukizwa. Mmoja wa watafiti hao, Dk Kamel Khalili aliwaambia waandishi wa habari mjini Philadelphia, Marekani kuwa tofauti na utafiti mwingine, wao wamegundua namna ya kukiondoa kirusi...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tiba, kinga ya Ukimwi vyanukia

>Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti za awali duniani.

 

11 years ago

GPL

SOYA: CHAKULA CHENYE KINGA NA TIBA

Mpendwa msomaji. Bado tupo katika kudadavua faida za kiafya zitokanazo na chakula. Leo, tutaizungumzia Soya ambayo ni maarufu sana nchini lakini kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa ni chakula chenye tiba ndani yake. Ajabu ya chakula hiki ni pale kinapompa nguvu mgonjwa haraka bila kujali aina ya ugonjwa anaoumwa. Katika ulimwengu wa vyakula, kuna maajabu mengi katika kukitumia chakula kama tiba na kinga ya maradhi. Mwaka 1999,...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UZIKWASA LATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA WILAYA YA PANGANI


Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange na kulia ni Mkurugenzi wa Halmashsuri ya wilaya ya Pangani Isaya Mbenje
Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu...

 

5 years ago

Michuzi

Madaktari wa Kichina watoa mafunzo ya kinga na tiba ya ugonjwa wa corona Sudan

 Timu ya madaktari 35 wa Kichina wanaendelea na kampeni yao ya kutoa mafunzo mjini Khartoum, Sudan, juu ya jinsi ya kuepuka maambukizi ya virusi hatari vya corona na njia za kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi hivyo.

Maafisa zaidi ya 50 wa afya nchini Sudan wanashiriki katika zoezi hilo ambalo lengo lake kuu ni kuchukua hatua za haraka za kuzuia na kutibu ugonjwa huo hatari.

Mmoja wa madaktari hao kutoka China, Li Changhong, amesema kuwa, timu yake ina mawasiliano ya karibu...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA STADI ZA MAISHA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI YAFANYIKA JIJINI MWANZA

 Kaimu katibu Tawala mkoa wa Mwanza Bw.Ndaro Kulinjirwa akiongea na Maafisa Vijana,Waratibu wa Ukimwi na Vijana (Hawapo Pichani) kutoka katika Mikoa  ya Simiyu,Shinyanga na Mwanza alipokuwa akizindua rasmi warsha kuhusu Stadi za Maisha kwa washiriki hao leo jijini Mwanza ikishirikisha wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo na Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania .Warsha iyo ya siku nne  inafanyika katika hoteli ya Midland. Kushoto kwake  ni Mratibu wa Vijana kutoka Tume ya Kudhibiti...

 

9 years ago

Mwananchi

Wagundua tiba ya Ukimwi

Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika.

 

5 years ago

Michuzi

WORLD VISION TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA KUWAKINGA NA CORONA WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA


Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa vifaa tiba na kinga vyenye thamani ya shilingi milioni 29 kwa ajili ya kusaidia watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Shinyanga kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona ‘Covid 19’ wanapohudumia wagonjwa.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 8, 2020 na Meneja wa World Vision Tanzania Kanda ya Ziwa John Massenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Massenza alisema wao kama...

 

5 years ago

Michuzi

UZALISHAJI WA VAZI KINGA (PPE) MUHIMBILI WAONGEZEKA KWA 400% HUKU MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) IKIRIDHIA NA KULITAMBUA

Mafundi wa kitengo cha Ushonaji MNH wakiendelea na ushonaji wa vazi la PPEVazi la PPE likiwa tayari kupelekwa kwa wateja .Mafundi wa Kitengo cha Ushonaji MNH wakiwa katika maandalizi ya awali ya ushonaji wa vazi la PPEMuonekano wa vazi la PPE linaloshonwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.******************************* Dar es Salaam, Jumanne Mei 19,...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Kashfa nne zinakuja

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amesema baada ya kukamilisha shughuli ya ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow ambayo Sh306 bilioni zilichotwa, kamati yake sasa inaelekeza nguvu katika kashfa nyingine nne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani