Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbegu Za Gmo  Wakulima wakataa wadai hazina faida kwao

Mtandao wa Vikundi vya wakulima nchini MVIWATA umeitaka serikali kupitia upya sheria ya matumizi ya mbegu za Genetically Modified Organisms GMO kwani hazina faida yoyote kwa mkulima mdogo zaidi ya kuwanufaisha wamiliki wa makampuni yatakayopewa zabuni ya kusambaza mbegu hizo kwa wakulima.

Katika mjadala wa sera ya kilimo na mbegu mkoani Morogoro, MVIWATA wamesema hawajashirikishwa katika mpango huo wa matumizi ya mbegu ambazo vinasaba vyake vimefanyiwa mabidiliko ya Kijenetiki hivyo serikali...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakulima Liwale kunufaika na mbegu za alizeti, ufuta

Chama cha Kuuza na Kununua Mazao cha Umoja, kilichopo wilayani Liwale, Mkoa wa Lindi kimeanza kutekeleza mradi wa kugawa mbegu za alizeti na ufuta kwa wakulima zaidi ya 700 zenye thamani ya Sh6 milioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbegu feki za mahindi zawaliza wakulima Hai

WAKATI msimu wa mwaka huu wa kilimo mkoani Kilimanjaro ukionekana kuwa na neema ya mvua za kutosha, Wilaya ya Hai imekuwa tofauti kutokana na baadhi ya wakulima kuuziwa mbegu feki...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wa pamba Mara wagomea mbegu za manyoya

WAKULIMA wa pamba wa Mara wameiomba Bodi ya Pamba kuwasambazia mbegu zisizo na manyoya kwa sababu ndizo zinazoota kwa urahisi na kwa wakati muafaka katika maeneo yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wa kanda ya ziwa wanufaika na mbegu ya marando

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Ukiligulu imesema majani ya viazi vitamu maarufu kama marando yanaweza kuwainua kiuchumi wakulima wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kama watayazalisha kwa wingi kwa njia ya kisasa kwa ajili ya mbegu.

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

9 years ago

Michuzi

AGRICS YAKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI NA ALIZETI KWA WAKULIMA MKOANI SHINYANGA NA SIMIYU

 Wakulima wakifurahia mbegu bora za mahindi, alizeti pamoja na mbolea mara baada ya kukabidhiwa na meneja miradi wa kampuni ya Agrics. Wakulima walionufaika na mbegu hizo ni pamoja na Maswa, Meatu na Shinyanga vijijini.Afisa Miradi wa kampuni ya Agrics Ltd, Bwana Semeni Kime (wa pili kulia) akifurahi na wakulima wa kijiji cha Mwakabeya baada ya kuwakabidhi wakulima hao mbegu za mahindi, alizeti pamoja na mbolea kwa ajili ya msimu mpya kilimo.Kampuni ya Agrics imetimiza ahadi ya kuwakabidhi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu tawala Singida ataka mikakati kuwekwa kuongeza wakulima wanaotumia mbegu bora

DSC01960

Katibu Tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye ufunguzi wa semina juu ya kuongeza upatikanaji wa mbegu bora na mbolea kwa wakulima wadogo wadogo kwa kuimarisha masoko ya pembejeo katika mikoa ya Singida na Dodoma.

Na Nathaniel Limu, Singida

KATIBU tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, amewahimiza wadau mbalimbali wanaojishughulisha na sekta ya kilimo,kuweka mikakati ya kuhakikisha zaidi ya aslimia 85 ya wakulima wawe wanatumia mbegu bora,ili kuleta mapinduzi ya kweli ya...

 

5 years ago

Michuzi

KUSAYA AAGIZA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO ASA KUSOGEZA HUDUMA KATIKA MAENEO YA WAKULIMA NCHINI


Na Bashiri Salum,Morogoro.


Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA wametakiwa kuanzisha maduka ya mbegu katika maeneo walipo wakulima ili kuwapunguzia gharama ya kuzifuta Morogoro mjini.

Akizungumza na watumishi leo alipotembelea taasisi hiyo Katibu Mkuu Kilimo Bw. Gerald Kusaya amesema ASA ni Taasisi pekee ya mbegu nchini hivyo inatakiwa kuwafika wakulima wote nchini.

Huduma ya mbegu bora inatakiwa na kilia mkulima hivyo ni lazima ASA wafikirie namna ya kushusha huduma zao chini kwa wakulima...

 

5 years ago

Michuzi

Tunapaswa kujivunia kwa kuongeza eneo la uzalishaji wa mbegu, miche bora pamoja usajili wa Wakulima na watoa huduma za kilimo – Waziri Hasunga

Afisa Mawasiliano serikalini Wizara ya Kilimo Ndg Issa Sabuni (Mwenye Fulana) jambo mbele ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mwenye Tai) wakati wa uzinduzi wa mtandao wa kutoa habari (Kilimo Tv) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano maarufu Kilimo IV Jijini Dodoma tarehe 8 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (asiye na Tai) na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Prof Siza Tumbo (Mwenye kaunda suti). (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani