Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya City kambini Julai 15

TIMU ya Mbeya City iliyokuja kwa kasi katika tasnia ya Soka hapa nchini, inatarajia kuingia kambini Julai 15 ikiwa ni maandalizi ya ligi Kuu Tanzania Bara. Kocha Mkuu wa Mbeya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbeya City yaingia kambini

 Mbeya City inaingia kambini leo kujiandaa na Ligi Kuu ya Bara itakayoanza Septemba 20, huku kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mwambusi akihitaji mechi tatu kali za kirafiki.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeya City kambini Ruvuma, kuivaa Majimaji

Timu ya Mbeya City imekwenda Songea mkoani Ruvuma ambako itapiga kambi kujiandaa na mechi zilizosalia za Ligi Kuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City, Prisons vitani Julai 5

TIMU za Mbeya City na Tanzania Prisons zinatarajiwa kushuka dimbani Julai 5 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya kwa ajili ya kufanyia majaribio tiketi za kielektroniki. Kwa mujibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yarejea kambini Mbeya

KIKOSI cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kesho kinatarajia kwenda jijini Mbeya kuendelea kujifua kuelekea mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji itakayochezwa wiki mbili zijazo, mjini Maputo, Msumbiji....

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI HUKO TUKUYU,JIJINI MBEYA

Wakati Taifa Stars inaingia kambini Tukuyu mkoani Mbeya kesho (Julai 9 mwaka huu), kocha Mart Nooij amesema kambi ya wiki mbili nchini Botswana imekisaidia kikosi chake kujiandaa kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo (Julai 8 mwaka huu) kuhusu maandalizi ya timu hiyo, Nooij amesema timu yake inafanya mazoezi kwenye maeneo ya baridi kwa sababu za kitaalamu, hivyo kambi ya Tukuyu kama ilivyokuwa ya Botswana itawasaidia kwa mechi dhidi ya Msumbiji.
Taifa Stars...

 

11 years ago

GPL

AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…

 

9 years ago

Michuzi

MBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA

Kocha wa Timu ya Mbeya City fc a.k.a Wakoma Kumwanya ndugu, Juma Mwambusi akizungumza jambo na baadhi ya Vyombo vya Habari mara baada ya Mtanange huo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kumalizika katika Uwanja wa kumbukumbu Sokoine Jijini Mbeya, Ambapo Mbeya City FC  waliibuka kidedea kwa kuichalaza Jkt Ruvu goli 3-0, ambapo Dakika ya 23 mchezaji Joseph Mahundi kuipatia Mbeya City Goli la Kwanza na Goli la Pili toka kwa Temy Felix Dakika ya 57 kwa mkwaju wa Penati, huku Goli la Tatu...

 

11 years ago

Michuzi

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya


JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani