Mbio za Rock City 2014 zatia fora
Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mwanza, Bw. Hamis Faki (wa pili kushoto) akitoa hotuba wakati wa kuhitimisha Mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza Jana. Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha nchini Suleiman Nyambui,akiwapa maelekezo wakimbiaji wa Km 21, kabla ya mbio kuanza,kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Mratibu wa Mbio za Rock City Marathon 2014 kutoka kampuni ya Capital Plus International Limited (CPI), akizungumza na waandishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Mbio za Rock City 2014 zatiafora
Wakimbiaji kutoka makampuni mbalimbali na walemavu wa ngozi (albino) wakichuana katika Mbio za Rock City Marathon (Kilomita 5) zilizowahusisha walemavu wa ngozi na watu kutoka makampuni mbalimbali Jijini Mwanza Jana.
-Mtanzania ashinda mbio za kilometa 21
Mwandishi Wetu, Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo ameagiza maofisa utamaduni na michezo kuandaa mikakati jinsi ya kushiriki kikamilifu mashindano ya Rock City Marathon mwakani.
Akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio kwenye...
10 years ago
Dewji Blog14 Oct
NSSF yanogesha mbio za Rock City 2014
Afisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Jumanne Mbepo (kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 15 ili kudhamini mbio za Rock City Marathon 2014 Mratibu wa mbio hizo Bw. Mathew Kasonta (kushoto) katika hafla ya kukabidhi hundi hiyo na kutangaza rasmi zawadi zitakazotolewa katika mbio hizo iliyofanyika jijini Dar es Salaam Jana. Mbio hizo zitafanyika mkoani Mwanza, katika uwanja wa CCM Kirumba tarehe 26 mwezi Oktoba mwaka huu. NSSF ikiwa kama mdamini mkuu wa...
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
TSN Group yapongeza kuanzishwa kwa mbio fupi katika Rock City Marathon 2014
Afisa Mtendaji Mkuu wa TSN group, Bw. Farough Baghozah (wapili kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 13 iliyotolewa na kampuni hiyo kudhamini mbio za Rock City Marathon 2014 zitakazofanyika mkoani Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba tarehe 26 Mwezi huu. Wakishuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Operesheni wa TSN Group Bi. Pamela Mandari, Mratibu wa mbio hizo, Bw. Mathew Kasonta (wapili kushoto) na Afisa Uhusiano na...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Usajili wa mbio za Rock City wazinduliwa Mwanza
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akionyesha fomu ya kujisajili kushiriki mbio za kilomita tano zitakazofanyika Oktoba 26 baada ya kuzindua usajili wa washiriki wa mashindano ya Rock City Marathon jijini Mwanza, jana. (Na Mpigapicha wetu).
-Mstahiki Meya wa Mwanza kuchuana 5km
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula amekuwa mtu wa kwanza kujisajili Kanda ya Ziwa kushiriki mbio za Rock City Marathon, huku akiwataka viongozi kuhakikisha wanafufua mchezo huo...
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA USAJILI WA WASHIRIKI WA MBIO ZA ROCK CITY MARATHON 2015 WAFANYIKA JIJINI MWANZA.
Hiyo ilikuwa katika Uzinduzi wa Usaili wa Washiriki wa mbio hizo za Rock City Marathon 2015 ambazo zilianza kufanyika Jijini Mwanza tangu mwaka 2009.
Mbio hizo (mashindano) huandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International na kudhaminiwa na Makampuni mbalimbali ikiwemo Mdhamini Mkuu Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Precision Air, Bodi ya Utalii Tanzania, New Mwanza Hotel na Bank M huku lengo lake likiwa ni kukuza mchezo huo pamoja na kuhimiza utalii wa...
10 years ago
MichuziRock City Marathon 2014 kuzinduliwa keshokutwa
kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya
New Afrika, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace
Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya
riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa
mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa kuhudhuria uzinduzi huo.
Bi....
10 years ago
TheCitizen08 Sep
Rock City Marathon 2014 set for launch
10 years ago
MichuziMalinzi azindua Rock City Marathon 2014
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa kesho kutwa
Na Mwandishi Wetu
UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014 zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya New Afrika, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa...