Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbio za Rock City 2014 zatiafora

Albino+Corporate (2)

Wakimbiaji kutoka makampuni mbalimbali na walemavu wa ngozi (albino) wakichuana katika Mbio za Rock City Marathon (Kilomita 5) zilizowahusisha walemavu wa ngozi na watu kutoka makampuni mbalimbali Jijini Mwanza Jana.

-Mtanzania ashinda mbio za kilometa 21

Mwandishi Wetu, Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo ameagiza maofisa utamaduni na michezo kuandaa mikakati jinsi ya kushiriki kikamilifu mashindano ya Rock City Marathon mwakani.

Akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio  kwenye...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NSSF yanogesha mbio za Rock City 2014

NSSF 1

Afisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Jumanne Mbepo (kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 15 ili kudhamini mbio za Rock City Marathon 2014 Mratibu wa mbio hizo Bw. Mathew Kasonta (kushoto) katika hafla ya kukabidhi hundi hiyo na kutangaza rasmi zawadi zitakazotolewa katika mbio hizo iliyofanyika jijini Dar es Salaam Jana. Mbio hizo zitafanyika mkoani Mwanza, katika uwanja wa CCM Kirumba tarehe 26 mwezi Oktoba mwaka huu. NSSF ikiwa kama mdamini mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mbio za Rock City 2014 zatia fora

Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mwanza, Bw. Hamis Faki (wa pili kushoto) akitoa hotuba wakati wa kuhitimisha Mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza Jana. Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha nchini Suleiman Nyambui,akiwapa maelekezo wakimbiaji wa Km 21, kabla ya mbio kuanza,kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Mratibu wa Mbio za Rock City Marathon 2014 kutoka kampuni ya Capital Plus International Limited (CPI), akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TSN Group yapongeza kuanzishwa kwa mbio fupi katika Rock City Marathon 2014

1

Afisa Mtendaji Mkuu wa TSN group, Bw.  Farough Baghozah  (wapili kulia)akifafanua jambo  kwa waandishi wa habari wakati wa kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 13 iliyotolewa na kampuni hiyo kudhamini mbio za Rock City Marathon 2014 zitakazofanyika mkoani Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba tarehe 26 Mwezi huu. Wakishuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Operesheni wa TSN Group Bi. Pamela Mandari, Mratibu wa mbio hizo, Bw. Mathew Kasonta (wapili kushoto) na Afisa Uhusiano na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usajili wa mbio za Rock City wazinduliwa Mwanza

1

Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akionyesha fomu ya kujisajili kushiriki mbio za kilomita tano zitakazofanyika Oktoba 26 baada ya kuzindua usajili wa washiriki wa mashindano ya Rock City Marathon jijini Mwanza, jana. (Na Mpigapicha wetu).

-Mstahiki Meya wa Mwanza kuchuana 5km

Na Mwandishi wetu, Mwanza

Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula amekuwa mtu wa kwanza kujisajili Kanda ya Ziwa kushiriki mbio za Rock City Marathon, huku akiwataka viongozi kuhakikisha wanafufua mchezo huo...

 

9 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA USAJILI WA WASHIRIKI WA MBIO ZA ROCK CITY MARATHON 2015 WAFANYIKA JIJINI MWANZA.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Hiyo ilikuwa katika Uzinduzi wa Usaili wa Washiriki wa mbio hizo za Rock City Marathon 2015 ambazo zilianza kufanyika Jijini Mwanza tangu mwaka 2009.
Mbio hizo (mashindano) huandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International na kudhaminiwa na Makampuni mbalimbali ikiwemo Mdhamini Mkuu Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Precision Air, Bodi ya Utalii Tanzania, New Mwanza Hotel na Bank M huku lengo lake likiwa ni kukuza mchezo huo pamoja na kuhimiza utalii wa...

 

10 years ago

TheCitizen

Rock City Marathon 2014 set for launch

The official launch of the sixth edition of Rock City Marathon 2014 which began in 2009 with the aim of promoting domestic tourism through sports is scheduled for September 10 at the New Africa Hotel.

 

10 years ago

Michuzi

Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa keshokutwa

UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani
kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya
New Afrika, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace
Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya
riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa
mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa kuhudhuria uzinduzi huo.
Bi....

 

10 years ago

Michuzi

Malinzi azindua Rock City Marathon 2014

  Mratibu wa Rock City Marathon  kutoka kampuni ya Capital Plus International Ltd, Bi Grace Sanga (wa kwanza kulia) akipongezwa na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Bw. Dioniz Malinzi (Wa nne kulia) ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi  wa Rock City Marathon 2014, jana jijini Dar es Salaam jana. Mbio hizo zitafanyika tarehe 26 Oktoba katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Baadhi ya wawakilishi wa wadhamini wa mbio za Rock City Marathon 2014 pamoja na viongozi wa chama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa kesho kutwa

Untitled

Na Mwandishi Wetu

UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014 zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya New Afrika, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani