Mbopima yapigwa tafu milioni 60/-
JUMUIYA ya Matumizi Bora ya Mali Hai Tarafa ya Idodi na Pawaga mkoani Iringa (Mbomipa), imepewa msaada wa sh milioni 60 na kampuni ya Mkwawa Hunting Safaris ya mjini Iringa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 May
AFC yapigwa tafu vifaa
TIMU ya AFC ya Arusha imepokea msaada wa vifaa vya michezo zikiwemo jezi, mipira na viatu vyote vikiwa na thamani ya sh milioni 2.5 kutoka Kampuni ya Tanzanite Forever ikiwa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Serengeti Boys yapigwa tafu
KAMPUNI ya Airtel Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuendeleza michezo nchini ili kuleta ufanisi katika sekta hiyo. Akizungumza kabla ya kukabidhi mipira 100 kwa timu ya...
11 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Ofisi ya Msajili wa Vyama yapigwa ‘tafu’
SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imepokea msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Teknohama), vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 200. Vifaa hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Mkinga yapigwa tafu ujenzi maabara
KAMPUNI ya saruji Tanga imekabidhi mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara za sayansi shule za Sekondari wilayani Mkinga mkoani hapa. Msaada huo wenye thamani ya...
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Hospitali ya Mkoa Singida yapigwa tafu ya mashuka na benki ya Posta nchini
Meneja wa benki ya Posta tawi la Singida, Redenoter Rweyemamu, akizungumza kwenye hafla ya benki hiyo kutoa msaada wa shuka 104 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili, kwa hospitali ya mkoa mjini hapa, inayokabiliwa na uhaba wa shuka na kusababisha wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi kitendo ambacho ni kinyume na taratibu.
10 years ago
GPL
AIRTEL FURSA YATUMIA ZAIDI YA MILIONI 3 KUMPIGA TAFU MJASILIAMALI MWINGINE
10 years ago
Michuzi
SIMBA YAPIGWA FAINI YA MILIONI 3/- KWA KUTOVAA JEZI ZENYE NEMBO YA MDHAMINI

Mechi hiyo namba 50 ya Ligi Kuu ya Vodacom ilichezwa Desemba 26 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 13(7) ya Ligi Kuu inayotaka klabu kuheshimu masharti ya udhamini wa Ligi Kuu kwenye mechi zake.
Nayo Polisi...
10 years ago
Michuzi
Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza


11 years ago
Mwananchi27 Feb
Soka la vijana lapigwa ‘tafu’