Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe afichua ufisadi mzito bomba la gesi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Taifa, Freeman Mbowe, amefichua tuhuma za ufisadi wa kutisha akisema kuwa gharama ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Vigogo CCM wamechota Sh1.2 mradi bomba la gesi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewatuhumu vigogo wa Serikali kwa ufisadi wa Dola 600 milioni za Marekani, sawa na Sh1.2 trilioni walizotumia katika mradi wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tendega afichua ufisadi wa vigogo

MGOMBEA ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Tendega, amewalipua baadhi ya watendaji na viongozi wa serikali kwa kutumia vibaya ruzuku ya pembejeo za kilimo. Alisema moja ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwigulu afichua ufisadi wa kutisha Hazina

Mwigulu Nchemba

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba

Jonas Mushi na Raphael Nolescus (TUDARCO), Dar es Salaam

NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema wameokoa zaidi ya Sh bilioni 40 zilizokuwa zilipwe kama mshahara wa mwezi uliopita kwa watumishi hewa 14,074 wa umma.

Pamoja na hilo, pia alisema Serikali itakuwa makini katika ulipaji wa madeni kwani tayari wamebaini kuwepo kwa madeni yasiyo sahihi ambapo katika deni la Serikali la shilingi bilioni 500 wamegundua deni sahihi ni shilingi bilioni...

 

9 years ago

Mtanzania

Mnyika amkumbusha Magufuli ufisadi DART, bomba la Mchina

Pg 4NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

MBUNGE wa Kibamba, John Mnyika amemuomba Rais Dk.John Magufuli kuingilia kati mradi wa maji wa Ruvu Chini maarufu ‘Bomba la Mchina’ pamoja na  wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) kuwa ni majipu sugu yanayotafuna fedha za walipa kodi.

Akizungumza   Dar es Salaam jana, Mnyika alisema siku 32 za Rais Magufuli kukaa Ikulu ametumbua vipele na si majipu kama   inavyoelezwa.

Alisema tatizo la maji nchini ni kubwa ambako awali kulikuwa na nyumba inazuia mradi wa...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Mnyika amkumbusha Magufuli ufisadi DART, bomba la Mchina

MBUNGE wa Kibamba, John Mnyika amemuomba Rais Dk.John Magufuli kuingilia kati mradi wa maji wa Ruvu Chini maarufu ‘Bomba la Mchina’ pamoja na wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) kuwa ni majipu sugu yanayotafuna fedha za walipa kodi.Akizungumza Dar es Salaam jana, Mnyika alisema siku 32 za Rais Magufuli kukaa Ikulu ametumbua vipele na si majipu kama inavyoelezwa.Alisema tatizo la maji nchini ni kubwa

 

11 years ago

Michuzi

UTANDAZAJI WA BOMBA LA GESI KUKAMILIKA JULAI

 Na Saidi Mkabakuli  Maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuendelea vyema kasi ya kundaza bomba hilo.  Wakizungumza na wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Wahandisi wa Ujenzi kutoka Shirika la Mafuta Tanzania (TPDC), Mhandisi Mwita Yagela na Mhandisi Omary Kitiku wamesema kuwa kasi ya sasa ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kilichopo kijiji cha Madimba,...

 

10 years ago

Habarileo

Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-

MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Waliopitiwa na bomba la gesi wanufaike pia ’

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda amemwagiza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhakikisha wizara yake inatenga kiasi cha Sh2 bilioni kila mwaka kwa ajili ya kuvipatia umeme na shughuli nyingine za maendeleo vijiji ambavyo vimepitiwa na bomba la gesi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani