Mnyika amkumbusha Magufuli ufisadi DART, bomba la Mchina
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Kibamba, John Mnyika amemuomba Rais Dk.John Magufuli kuingilia kati mradi wa maji wa Ruvu Chini maarufu ‘Bomba la Mchina’ pamoja na wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) kuwa ni majipu sugu yanayotafuna fedha za walipa kodi.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mnyika alisema siku 32 za Rais Magufuli kukaa Ikulu ametumbua vipele na si majipu kama inavyoelezwa.
Alisema tatizo la maji nchini ni kubwa ambako awali kulikuwa na nyumba inazuia mradi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-5tbpNygWsAk/Vmd0Ob7u_fI/AAAAAAAAXX8/zZf-1orAXeI/s72-c/John-01July2015.jpg)
Mnyika amkumbusha Magufuli ufisadi DART, bomba la Mchina
9 years ago
Habarileo05 Nov
Mrema amkumbusha Magufuli ahadi yake
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amempongeza Rais Mteule, Dk John Magufuli kwa kushinda urais na kumuomba katika uongozi wake amfikirie.
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Mbowe afichua ufisadi mzito bomba la gesi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Taifa, Freeman Mbowe, amefichua tuhuma za ufisadi wa kutisha akisema kuwa gharama ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Mnyika amkaba Dk. Magufuli
SIKU moja baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kuiamuru Kampuni ya Strabag kufungua barabara ya Morogoro na za mchepuko ambazo zimekamilika, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Mnyika alia na Magufuli barabara Tangi bovu
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli kuchukua hatua za haraka kuharakisha ujenzi wa barabara ya Tangi Bovu Goba kama alivyoahidi bungeni hivi karibuni....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bApp_GLve-w/VUDd3iM2m1I/AAAAAAAHUAI/3boRY6W_kaE/s72-c/2.jpg)
DKT. MAGUFULI AMWAGIZA MTENDAJI MKUU TANROADS KUKABIDHI BARABARA YA “DART”
Hayo ameyazungumza Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli katika hafla uzinduzi wa barabara ya Uhuru ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam iliyofanyika leo katika viwanja vya...
9 years ago
StarTV01 Sep
Magufuli awaonya maafisa wanaoendeleza ufisadi
Wakati akampeni za kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika octoba 25 mwaka huu Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ametoa onyo kali kwa maafisa walio katika taasisi za serikali na halmashauri mbalimbali nchini wanaoendeleza na kufumbia,macho maswala ya,Rushwa na vitendo vya ufisadi na kuwa kikwa kwa maendeleo.
Magufuli ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ambaye pia ni waziri wa Ujenzi ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Oct
Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka
John Magufuli Tuesday, October 6, 2015 Na Ananilea Nkya Mwandishi wa makala hii ni Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA. ****** Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania […]
The post Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mtanzania02 Dec
Magufuli asaka vinara ufisadi wa mabilioni
*Awataka waliohusika na kashfa ya Sh trilioni 1.3 watoe ushirikiano
* aliyekuwa bosi TRA, Harry Kitilya, mtoto wa Waziri wahusushwa
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya Mahakama ya London, Uingereza kubaini ufisadi wa Sh trilioni 1.3, zilizotokana na mkopo uliotolewa na benki ya Standard ya Uingereza kwa Serikali ya Tanzania, Ikulu imeanza kusaka watu waliosababisha hasara hiyo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,...