Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu afichua ufisadi wa kutisha Hazina

Mwigulu Nchemba

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba

Jonas Mushi na Raphael Nolescus (TUDARCO), Dar es Salaam

NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema wameokoa zaidi ya Sh bilioni 40 zilizokuwa zilipwe kama mshahara wa mwezi uliopita kwa watumishi hewa 14,074 wa umma.

Pamoja na hilo, pia alisema Serikali itakuwa makini katika ulipaji wa madeni kwani tayari wamebaini kuwepo kwa madeni yasiyo sahihi ambapo katika deni la Serikali la shilingi bilioni 500 wamegundua deni sahihi ni shilingi bilioni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi wa kutisha

CAG afichua Sh. milioni 214/- zilivyolipwa waliofeli UDOM, IFM na mabilioni yanavyoliwa TanescoMsaidizi wa Mkaguzi Mkuu, Benja Majura
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inayoishia Juni 30, mwaka 2013, imeanika matumizi mabaya ya fedha za umma.

Ripoti hiyo imehusisha mashirika mengi ya umma yakiwamo Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), Bodi ya Korosho, Mamlaka ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi wa kutisha waibuliwa

Machungu ya Watanzania yakiwa hayajapoa kutokana na kashfa ya Sh306 bilioni kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow, ufisadi mwingine wa zaidi ya Sh252 bilioni umeibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ndani ya wizara ya ujenzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tendega afichua ufisadi wa vigogo

MGOMBEA ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Tendega, amewalipua baadhi ya watendaji na viongozi wa serikali kwa kutumia vibaya ruzuku ya pembejeo za kilimo. Alisema moja ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ufisadi wa kutisha kwenye vyama vya ushirika nchini

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amekiri kuwepo kwa wizi mkubwa na ufisadi wa kutisha wanaofanyiwa wakulima kwenye vyama vya ushirika nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe afichua ufisadi mzito bomba la gesi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Taifa, Freeman Mbowe, amefichua tuhuma za ufisadi wa kutisha akisema kuwa gharama ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU HABARI NYINGINE HUKO IRAMBA MBIO ZA UBUNGE NDANI YA CCM,JAIRO NA WENZAKE WAJITOA,MWIGULU KUSHINDA KWA KISHINO

Mwigulu Nchemba akiondoka Viwanja vya Shelui mara baada ya Mkutano wa Kampeni Kumalizika.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wake Kata ya Shelui wakati wa Mkutano wa Kampeni ya kura ya Maoni za UBunge kuwania kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM Wilaya ya IrambaMwigulu Nchemba akilakiwa na Wananchi wake kijiji cha Tulya wilayani Iramba wakati wa kampeni za Kura ya Maoni ya kuwania Ubunge ndani ya CCM.
Mwigulu Nchemba akifurahia mwenendo wa kampeni za kura ya maoni na Wananchi wake.

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

11 years ago

GPL

UKATILI WA KUTISHA

Watoto Hassan Yusuf, Hussein Yusuf na Rehema Said baada ya kuokolewa na majirani. Na Makongoro Oging'
“TUNAJUA shangazi anatutesa kwa sababu baba na mama wapo mbali, kama wangekuwepo hapa tusingeteswa hivi. Tunamuomba baba, tunamuomba mama kama watasoma habari hii waje watuchukue turudi nyumbani, shangazi anatutesa sana, wala hatukutegemea,” ndivyo alivyoanza kusema mtoto Hassan Yusuf (5) ambaye ni mkubwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani