Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBOWE ALIPOUNGURUMA MKOANI SIMIYU

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akizungumza na halaiki ya vijana wa chama hicho muda mfupi baada ya kuifunga kambi ya mafunzo ya vijana hao iliyofanyika Kijiji cha Lagangabilili Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu juzi. Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wakimshangilia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (hayupo pichani), katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MH. MBOWE AFANYA ZIARA ZA CHAMA MKOA WA SIMIYU NA TABORA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (wa tatu kulia), akiongoza halaiki ya vijana, viongozi na makada wa chama hicho kukimbia mchakamchaka kutoka kwenye Kambi ya mafunzo ya vijana ya Luhemeli Kata ya Ndala wilayani Nzega Mkoa wa Tabora, kuelekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Taifa-Ndala juzi. Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakipasha mwili kwa kurukaruka mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Freeman Mbowe...

 

5 years ago

Michuzi

WATU 34 WARUHUSIWA KUTOKA KARANTINI MKOANI SIMIYU


Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Bariadi Mjini, Aprili 18, 2020 ambapo ameshiriki katika ibada ambayo waumini hao wameitikia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kwa Watanzania wote kuingia katika maombi ya siku tatu ( Aprili 17-19, 2020) kuliombea Taifa ili Mungu aliponye na janga la Corona.
Baadhi ya Wazee wa Kanisa wa Kanisa la SDA Bariadi mjini wakiwaongoza...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA ya Kamani wilayani Busega, Mkoani Simiyu.

Mbunge wa Jimbo la Busega, ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, akishuhudia maji yakitiririka baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Kijiji cha Manala Kata ya Badugu wilayani Busega. Kulia ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Busega, Agatha Magonela.
Dk. Kamani akimtwisha ndoo ya maji mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Manala, baada ya kufungua mradi huo.
Dk. Kamani akikagua msingi wa Kituo cha kulelea walemavu wa ngozi (albino) kinachojegwa katika Kijiji cha Lukungu...

 

10 years ago

Mwananchi

Adha ya usafiri mkoani Simiyu inavyotesa wananchi Ngorongoro

“Bila buku kumi hakuna kupita hapa …maana Serikali imeshindwa kutekeleza wajibu wake, kila siku tunasikia ufisadi wa fedha za umma hadi madaraja yanabomoka huku kwetu hakuna mwenye habari nayo”

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YANOGESHA MAADHIMISHI YA SIKU YA WANAWAKE MKOANI SIMIYU


Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi - Sospeter Magesse (kushoto), akimkabidhi tisheti 1800 Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu - Jumanne Sagini kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.  



Wakati Mkoa wa Simiyu ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kitaifa Machi 8, 2020, Benki ya NMB imenogesha maadhimisho hayo kwa kutoa msaada wenye thamani ya sh. Milioni 26.Msaada huo ni pesa taslimu kiasi cha sh. Milioni tano pamoja na tisheti zenye thamani ya Sh. Milioni...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA MKOANI SIMIYU,SASA AFIKISHA MIKOA 14

Mwigulu Nchemba akiwasili Mkoa wa SIMIYU,Wilaya ya Itilima kwaajili ya kutafuta wadhamini wa nafasi ya Urais ndani ya chama cha Mapinduzi.Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya wanachama wa CCM waliomdhamini kwenye mchakato wa kugombea nafasi ya Urais ndani ya Chama.Anayekabidhi ni Katibu wa CCM ,Wilaya ya Itilima.Ndugu Mwigulu Nchemba akionesha fomu zilizojazwa na wadhamini wa wilaya ya Itilima ambao ni WanaCCM hai na waliohakikiwa na katibu wilaya wa Chama.Mwigulu Nchemba akitoa neno...

 

10 years ago

Michuzi

Ndg Jerry Silaa aendelea na ziara yake mkoani simiyu


Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na mlezi wa mkoa wa Simiyu Jerry Silaa akiongea na wananchi wa kijiji cha Mwamhongo wilayani Meatu, mkoa wa Simiyu. Ndg. Jerry Silaa amechangia mabati 50 kusaidia ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Mwamhongo kata ya Mwasengela kilometa 94 toka makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Ndg.Jerry amekuwa kiongozi wa kwanza wa Chama chochote wa ngazi ya Taifa kukanyaga ardhi ya Kijiji hiki. Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Jerry Silaa ambaye ni Mlezi wa mkoa wa simiyu leo katika...

 

10 years ago

GPL

SIKU YA TATU YA ZIARA YA NDG.JERRY SILAA MKOANI SIMIYU

Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilaya ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka. Ndg. Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa Malampaka…

 

10 years ago

Michuzi

Siku ya tatu ya ziara ya Ndg Jerry Silaa mkoani Simiyu

 Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilay ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka.  Ndg Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa MalampakaWananchi wa Malampaka wakimsikiliza Ndg Jerry Silaa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani