Mbunge- Nitaheshimu uamuzi wa wananchi
MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amesema kurudi kwake bungeni katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kutategemea maamuzi ya wapiga kura wa Jimbo la Iringa Mjini. Akihojiwa na Redio Nuru FM hivi karibuni Mchungaji Msigwa alisema “ kurudi kwangu bungeni kutategemea maamuzi ya wananchi na nitaheshimu uamuzi wao.”
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Jan
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Kinana mpongeza Mbunge Lekule kwa uamuzi wake wa kutogombea tena
*Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha alia na watendaji wa serikali,asema ndio wanakiumiza chama
*Nape awapongeza wana CCM wilaya ya Longido kwa mshikamano na kuipa ushindi CCM kwenye Chaguzi
![](http://4.bp.blogspot.com/-0wS_JnWWkOM/VQiC692bM_I/AAAAAAAAYPI/b6q45iVLanA/s1600/1.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Longido Ndugu Michael Lekule Laizer mara baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Engikareti mpakani mwa wilaya ya Arumeru na Longido.
![](http://1.bp.blogspot.com/-PpGF5-TAg3Q/VQiMVsU9R8I/AAAAAAAAYRg/Xn3uUwIAXhk/s1600/2.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo maalum kutoka kwa wenyeji...
9 years ago
CCM Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-FYCkqP-V16s/VlWISSWrQ6I/AAAAAAAA1Sw/97TME7kmkQI/s72-c/Aysharose.jpg)
MBUNGE AYSHAROSE AUNGA MKONO UAMUZI WA RAIS DK. MAGUFULI KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU MWAKA HUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-FYCkqP-V16s/VlWISSWrQ6I/AAAAAAAA1Sw/97TME7kmkQI/s320/Aysharose.jpg)
Amesema, uamuzi huo umejali maslahi ya taifa kwa sababu fedha nyingi zingetumika kwenye masuala yasiyokuwa na ulazima kwa wananchi.
Pia, ametoa rai kwa watumishi na viongozi wenzake wa serikali kufanyakazi kwa...
9 years ago
Habarileo24 Aug
Maalim Seif: Nitaheshimu matokeo uchaguzi mkuu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar, huku akisema endapo akishindwa kuibuka mshindi, ataheshimu matokeo na kumpongeza atakayeshinda.
5 years ago
MichuziMBUNGE CHADEMA ASEMA UAMUZI WA LOCKDOWN HAUKUWA WA MAANA, AHOJI HIVI RAIS ATOE MAAMUZI YA KUUA WATANZANIA WENGI KWA AJILI YA CORONA ILI APATE FAIDA GANI
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kikiwa kwenye mpasuko baada ya baadhi ya wabunge wake kukaidi agizo la Chama hicho kuwataka kutohudhuria Bunge na kisha kukaa 14 kama sehemu ya kujilinda na virusi vya Corona limechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama hicho Peter Lijualikali kuelezea hatua kwa hatua madhara ya Lockdown kwa Watanzania na namna ambavyo aliamua kutokubaliana na uamuzi huo kwa maslahi ya...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Wananchi waumbua Mbunge, Diwani
MBUNGE wa Korogwe Mjini, Yusuf Nasir na Diwani wa kata ya Manundu, Robert Bago juzi walionja joto ya uongozi baada ya kuumbuliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCspPyS2RK14dc9EEenJP0Yp789XxZ1Pb8l60jlCahGL6ed1v70NzVtM9-wu9ujwFE4Wv9yUB5WA*V8*TUwkiaEX/Mtangii.jpg?width=650)
MUHEZA WANANCHI: AHADI NYINGI ZA MBUNGE NI HEWA
10 years ago
Habarileo03 Nov
Mbunge aongoza wananchi kujigawia ardhi Arusha
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari juzi aliongoza wapiga kura wake kugawa shamba linalomilikiwa na Chama cha Ushirika mkoani Arusha (ACU), akisema amechoka kuona wananchi wake wakisotea ardhi ilhali kuna maeneo hayaendelezwi.
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Wananchi wamshitaki mwenyekiti wao kwa mbunge
WAKAZI wa Kijiji cha Kongogo wilayani hapa mkoani Dodoma, wamemshitaki Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Daudi Husein kwa Mbunge wao, Omar Badwel (CCM), kwa madai ya kujigeuza Mungu mtu katika utendaji...