Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUHEZA WANANCHI: AHADI NYINGI ZA MBUNGE NI HEWA

Mheshimiwa Hebert Mtangi kushoto akiwa kazini. Stori: Abdallah Juma, Muheza
Muheza ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Tanga. Kwa upande wa Kaskazini, Muheza inapakana na nchi ya Kenya, upande wa Mashariki kuna Jiji la Tanga na Bahari ya Hindi, Kusini inapakana na Wilaya ya Pangani wakati Magharibi kuna wilaya za Lushoto na Korogwe. Pia Muheza ni Jimbo la uchaguzi lenye jumla ya kata 37, likiongozwa na Mheshimiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Wananchi chambueni ahadi, nyingi hazitekelezeki

>Kuanzia mapema mwezi huu, makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM wamekuwa wakichukua fomu, kwenye makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma, za kuomba udhamini wa wanachama wao waweze kugombea urais.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni aanza kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wake kwa ujenzi wa ukuta kituo cha Afya Chumbuni

Katibu wa UVCCM Jimbo la Chumbuni Saadam Saleh akitowa maelezo wakati wa Mkutano wao na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akiwa katika ziara yake kuwatembelea Vijana wa UV CCM Zanzibar Katibu wa UVCCM Wilaya ya Amani Unguja Ali Seif akizungumza na Vijana wa Jimbo la Chumbuni wakati wa ziara ya Katibu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akiwa katika ziara yake kutembelea Vijana Zanzibar. Afisa wa UVCCM kutoka Makao Makuu Dar-es-Salaam Fatma Rashid akizungumza na Vijana wa UVCCM wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ahadi hewa katika soka hazitakiwi

Mchezo wa soka siyo siasa. Madhara ya kuchanganya siasa na soka wote tunayafahamu. Soka la Tanzania linapukutika umaarufu kutokana na viongozi kuingiza siasa ndani yake. Mifano iko mingi!

 

10 years ago

Mwananchi

Watoa ahadi ‘hewa’ nao waadhibiwe

Tunapokea ahadi nyingi sana kutoka vyanzo mbalimbali. Kutoka kwa wenzetu katika ndoa, wazazi na watoto wetu, viongozi wetu wa dini, serikali, vyama n.k.

 

11 years ago

Dewji Blog

DC Muheza ashauriwa na wananchi

DSC09680

Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Subira Mgalu.

Na Mwandishi wetu

Wakazi wa kijiji cha Kicheba, Muheza, Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo, Subira Mgalu, kuwa makini na viongozi wa kijiji hicho, kwani wanaweza kumgombanisha nao kwa ajili ya malengo yao binafsi.

Mmoja wa wakazi hao, ambaye hakupenda jina lake liandikwe kwenye mtandao wetu, alisema viongozi wa kijiji hicho, wamekuwa wakitekeleza majukumu yao vibaya huku wakidai kuwa hayo ni maagizo kutoka wailayani.

Alisema hivi karibuni...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni aanza Kutekeleza Ahadi Zake kwa Wananchi wa Jimbo la Chumbuni kwa Ujenzi wa Ukuta Kituo cha Afya Chumbuni

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar na Kamanda wa Vijana Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwahutubia Vijana wa UVCCM Tawi la Chumbuni wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa Vijana Mhe Shaka Hamdu Shaka kutembelea Jumuiya za Vijama katika Majimbo ya Zanzibar.Vijana wa CCM wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa mkutano ziara ya Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka,mkutanom huo wa Vijana umefanyika tawi la CCM Chumbuni KarakanaMbunge wa Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza...

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMDA) ILIVYOWEKA HISTORIA YA KUREKODI KIASI CHA MVUA NYINGI TANGU MWAKA 1970

Na Karama Kenyunko globu ya jamii.

MAMLAKA  ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwaka 2019 umeweka rekodi na  kushika nafasi ya nne kwa kuwa na kiasi cha mvua nyingi tangu mwaka 1970

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari alipokuwa akitoa uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya hewa wakati wa kikao cha Bodi ya TMA kilichofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya TMA Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

 Akizindua ripoti hiyo, Dkt. Kijazi ...

 

11 years ago

Michuzi

JK AONGEA NA WANANCHI WILAYANI MUHEZA, AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa hadhara mjini Muheza jana jioni. Rais Kikwete anatarajia kuhitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga leo. Picha na Freddy Maro. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13) mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza 

 

10 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani