Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge aizindua serikali

BAADA ya Mbunge wa Viti Maalumu, Moza Abeid (CUF), kufanya mikutano ya hadhara wilayani hapa kwa lengo la kuishitaki halmashauri hiyo kwa wananchi kwa kutoweka kipaumbele cha kuwapatia maji, serikali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mbunge: Serikali ime-‘Paralysis’

MBUNGE Ole (CUF), Rajab Mbarouk Mohammed, amelitaka Bunge kutoa fursa ili   wajadili mwenendo wa serikali kwa madai kuwa Ime- ‘Paralysis’ (Imepooza), kiasi cha kushindwa kutimiza wajibu wake. Mbunge huyo, alitoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbunge azijia juu taasisi za serikali

MBUNGE wa Mpwapwa Gergory Teu amezinanga taasisi za serikali kushindwa kulipa ankra za maji na umeme katika Wilaya ya Mpwapwa. Kauli hiyo aliitoa mbele za Rais wa Jakaya Kikwete wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge: Serikali ina donda ndugu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Conchester Rwamlaza (CHADEMA) amesema serikali ina donda ndugu la kuruhusu mianya ya rushwa. Conchesta alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akichangia hotuba ya bajeti ya serikali...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge adai watumishi wa serikali wanadhoofisha maendeleo

Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Omari Nundu Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Omari Nundu, amesema watumishi wa serikali wanachangia kurudisha maendeleo ya wananchi nyuma.

Alisema halmashauri zimeshindwa kutimiza ahadi ambazo serikali imezitoa kwa wananchi kutokana na watumishi kukosa uaminifu.

Nundu ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Uchukuzi, aliyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini hapa ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge alia na Serikali kuifungia migodi ya Mirerani

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa hali ya uchumi kwa wakazi wa Mirerani imedorora baada ya migodi 19 kusimamishwa kuchimba madini ya Tanzanite.

 

5 years ago

Michuzi

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Lupembe,aishukuru serikali

Na Amiri kilagalila,Njombe Akitolea ufafanuzi wa namna wananchi walivyokuwa wakikabiliwa na adha mbalimbali ndani ya jimbo la Lupembe, aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kabla ya kuvunjwa kwa bunge hilo leo Mh,Joram Hongoli ameishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kupeleka fedha nyingi katika miradi ya afya, elimu, maji pamoja na barabara ndani ya wilaya ya Njombe pamoja na kukamilisha ujenzi wa hospitali ya wilaya iliyojengwa Matebwe wilayani humo. Ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Njombe...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbunge kuadhibiwa kwa kusifu serikali ya ubaguzi wa rangi

Chama rasmi cha upinzani nchini Afrika Kusini kimeanzisha hatua za kinidhamu dhidi ya mbunge mmoja mwandamizi,ambaye alionekana akimsifu mwanasiasa mmoja wa nyakati za ubaguzi wa rangi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ahoji serikali kushindwa kukabili mazalia ya mbu

MBUNGE wa Viti Maalum, Mkiwa Kimwanga (CUF) ameihoji Serikali kwa kushindwa kupuliza dawa ya  kuua mbu na mazalia yake katika mikoa yote Tanzania. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbunge...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge aitaka serikali iongeze kasi kuwasaka wauaji wa albino.

Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymaa Kwegyir (pichani), ameapa kufa akipambana kuwatetea watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) kuiomba serikali kuongeza kasi ya kuwasaka na kuwafikisha mahakamani watu wanaojihusisha na vitendo vya utekaji na mauaji hayo.

Alitoa ahadi hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kazi za Jamii iliyofanyika katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Profesa Hubert Hairuki (HKMU) jijini Dar es Salaam jana.

Alisema ipo haja ya kuweka sheria kali hata ikibidi wauaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani