Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge azijia juu taasisi za serikali

MBUNGE wa Mpwapwa Gergory Teu amezinanga taasisi za serikali kushindwa kulipa ankra za maji na umeme katika Wilaya ya Mpwapwa. Kauli hiyo aliitoa mbele za Rais wa Jakaya Kikwete wakati...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

SOLUTION BLOCKS YAANDAA MIKUTANO ILI KUKUTANISHA NGO’S,TAASISI ZA KIRAIA NA TAASISI ZA SERIKALI KWA KILA MWENZI.

 Na Avila kakingo,Globu ya jamii.
KAMPUNI ya Solution BLOCKS ikishirikiana na kampuni ya Anglo Gold Ashanti waandaa mkutano wa  Alhamisi ya kila mwezi ili kushirikisha taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali kuzungumzia kuchangia katika maendeleo katika  jamii.
Hayo yamesemwa na Makamo wa Rais wa Sustainability Aglo Gold Ashanti, Simon Shayo katika ufunguzi wa mkutano ambao umejulikana kwa jina la THURSDAY TALK  uliofanyika katika hoteli ya Colosseum  jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

Taasisi zinazotuhumiwa kwa rushwa zaja juu

Baadhi ya viongozi wa taasisi zinazotuhumiwa kuwa vinara wala rushwa wameonyeshwa kushangazwa na ripoti ya utafiti wa Afrobarometer huku wakihoji vigezo vilivyotumika.

Juzi Afrobarometer wakitangaza utafiti wao huku wakitaja taasisi hizo na asilimia zake kwenye mabano kuwa ni Polisi (50), Mamlaka ya Mapato nchini (37), Majaji na Mahakimu (36), Taasisi ya Kudhibiti na Kupambana na Rushwa (29), Maofisa wa serikali za mitaa (25), Watumishi wa Umma (25), Wabunge (22) na Rais na Maofisa wa Ikulu...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

Na Mwandishi wetu.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeonya kwamba haitamvumilia mtendaji ye yote wa Serikali  au Taasisi zake za Umma atakayebainika anazorotesha ufanisi wa kazi pamoja na kuendeleza makundi katika sehemu za kazi.
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yaendelea kuimarisha ukaguzi wa Ndani Wizara na Taasisi za Serikali

Mkuu wa Ukaguzi wa ndani toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw.Mohamed Mtonga akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu miongozo mbalimbali iliyolewa na Serikali ikiwa ni moja ya hatua za kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani katika Wizara na Taasisi za Serikali kote nchini ili kuongeza tija,kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara Hiyo Bi. Ingiahedi Mduma na kushoto ni Kaimu Mkaguzi mkuu wa ndani bW. Chotto Sendo.Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Wizara ya fedha na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka taasisi za fedha zichunguzwe

MBUNGE wa Viti Maalumu, Cecilia Pareso (CHADEMA), ameitaka serikali kuzichunguza taasisi za kifedha zinazotoa mikopo kwa riba kubwa ikiwa ni pamoja na taasisi ya kifedha ya Bayport. Pareso alitoa pendekezo...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Makame azindua Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti

Mhe. Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ( mwenye mkasi) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti nchini. Anayeshuhudia ni Prof. Tolly Mbwete, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania na mwakilishi wa Benki ya Dunia, Tanzania.
Mtandao huo umeunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti 22 nchini ambapo Vyuo Vikuu mbalimbali nchini vinaweza kuwasiliana, kutoa huduma ya elimu mtandao, maktaba mtandao,...

 

10 years ago

Michuzi

MABARAZA YA WAFANYAKAZI TAASISI ZA ELIMU YA JUU YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dkt. Joseph Kihanda (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara Prof. Isaya Jairo kabla ya kuzindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) lililojumuisha wawakilishi kutoka matawi 6 ya taasisi hiyo katika mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza , Mtwara, Dar es salaam na Mbeya.Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba wakati...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mbunge aijia juu Wizara ya Ardhi


Na Happiness Mtweve, Dodoma
MBUNGE wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaza Mangungu, ameiomba Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kutoa muda wa kutosha kuwahudumia wananchi.
Akiuliza swali bungeni jana mjini hapa, Mangungu alisema kumekuwepo na malalamiko ya wananchi kutopata muda wa kutosha kupata huduma mbalimbali kutoka wizarani hapo.
Mangungu alisema wizara hiyo ni nyeti na inategemewa na Watanzania wote kushughulikia huduma mbalimbali katrika eneo la ardhi, nyumba na makazi.
Alihoji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani