Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge ashambuliwa kwa kuandaa nyama ya ng’ombe

Wabunge wa chama tawala nchini India cha BJP wamempiga mbunge Mwislamu kwa kuandaa nyama ya ng’ombe katika sherehe.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Auwawa kwa 'kula' nyama ya ng'ombe india

Polisi nchini India wamewakamata watu wawili kuhusiana na mauaji ya mtu mmoja muislamu kutokana na uvumi kwamba familia yake imekuwa ikihifadhi na kula nyama.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KISHAPU SULEIMAN NCHAMBI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA SILAHA 10, RISASI 536 NA NYAMA 'UWINDAJI HARAMU'




Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba akionesha kwa waandishi wa habari silaha alizokamatwa nazo mbunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Masoud Suleiman 'Suleiman Nchambi'.


Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi (CCM) kwa tuhuma za kupatikana na silaha 10, risasi 536 na nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyawapori kinyume...

 

11 years ago

Mtanzania

Mjumbe ashambuliwa kwa kipigo

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimjulia hali mbunge wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kupigwa na vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Picha na Mpiga Picha wetu.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimjulia hali mbunge wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kupigwa na vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Picha na Mpiga Picha wetu.

Na Esther Mbussi, Dodoma

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgori, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Dodoma, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.

Tukio hilo lilitokea juzi saa mbili usiku, eneo la Area A, ambako watu hao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raila Odinga ashambuliwa kwa kiboko

Hali ya taharuki iliibuka katika katika jimbo la Kwale nchini Kenya, baada ya mwanamume mmoja kumchapa Raila Odinga kwa kiboko

 

10 years ago

Habarileo

Ashambuliwa kwa nyaya za umeme, ajeruhiwa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaMKAZI wa Kitangiri jijini hapa, Biera Edwin (22) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.

 

9 years ago

Mtanzania

Sugu ashambuliwa kwa mawe Mbeya

NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi, maarufu kwa jina la DJ BBG, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

 

9 years ago

Bongo5

Mwanamke ashambuliwa kwa kuzungumza Kiswahili Marekani

woman

Mwanamke aitwaye, Asma Jama ameshambuliwa nchini Marekani kwa kuongea Kiswahili.

woman

Jama alikuwa amekaa na familia yake kwenye mgahawa wa Applebee huko Minnesota, akikata kiu na juice huku mazungumzo yakiendelea kabla ya kujeruhiwa vibaya mdomoni. Mwanamke aliyekuwa amekaa jirani yake alimponda na glasi nzito ya bia mdomoni.

Sababu? Jama alikuwa akizungumza Kiswahili na familia yake.

“Siamini baada ya miaka yote hii mtu ananipiga sababu niko tofauti,” alisema Jama. “Mtu ananipiga kwasababu...

 

11 years ago

Bongo5

Genevieve Nnaji ashambuliwa kwa kuziponda filamu za Nigeria

Muigizaji wa filamu wa Nigeria, Genevieve Nnaji amelazimika kujitetea baada ya kunukuliwa kwenye mahojiano akiziponda filamu za Nigeria. Kwenye mahojiano hayo, Genevieve ambaye ni miongoni mwa waigizaji wenye fedha zaidi nchini humo alidai kuwa haonekani kwenye filamu mpya kwakuwa hajapata script inayomfaa na kwamba tasnia ya filamu nchini humo haikui. “Ninaziunga mkono filamu ambazo zinazonesha […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkazi wa Ngara ashambuliwa kwa kinyesi akitoka mahakamani

DSC04584

Mkazi  wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw, Philimoni Bunziya akimwelezea mwandishi wa habari hizi jinsi alivyomwagiwa chupa yenye kinyesi na mtuhumiwa wakati akitoka Mahakamani katika maeneo hayo.

DSC04588

Na Daniel Makaka, Ngara

 MKAZI mmoja wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw. Philimoni Bunziya alijikuta akishambuliwa na chupa iliyokuwa na kinyesi karibu na nyumbani kwake alipokuwa akitoka mahakamani.

 Tukio hilo limetokea Machi 28 mwaka huu majira ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani