Mjumbe ashambuliwa kwa kipigo
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimjulia hali mbunge wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kupigwa na vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Picha na Mpiga Picha wetu.
Na Esther Mbussi, Dodoma
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgori, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Dodoma, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Tukio hilo lilitokea juzi saa mbili usiku, eneo la Area A, ambako watu hao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Jan
Ashambuliwa kwa nyaya za umeme, ajeruhiwa
MKAZI wa Kitangiri jijini hapa, Biera Edwin (22) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Raila Odinga ashambuliwa kwa kiboko
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Sugu ashambuliwa kwa mawe Mbeya
NA PENDO FUNDISHA, MBEYA
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi, maarufu kwa jina la DJ BBG, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...
9 years ago
Bongo507 Nov
Mwanamke ashambuliwa kwa kuzungumza Kiswahili Marekani
![woman](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/woman-300x194.jpg)
Mwanamke aitwaye, Asma Jama ameshambuliwa nchini Marekani kwa kuongea Kiswahili.
Jama alikuwa amekaa na familia yake kwenye mgahawa wa Applebee huko Minnesota, akikata kiu na juice huku mazungumzo yakiendelea kabla ya kujeruhiwa vibaya mdomoni. Mwanamke aliyekuwa amekaa jirani yake alimponda na glasi nzito ya bia mdomoni.
Sababu? Jama alikuwa akizungumza Kiswahili na familia yake.
“Siamini baada ya miaka yote hii mtu ananipiga sababu niko tofauti,” alisema Jama. “Mtu ananipiga kwasababu...
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Mbunge ashambuliwa kwa kuandaa nyama ya ng’ombe
11 years ago
Bongo505 Jul
Genevieve Nnaji ashambuliwa kwa kuziponda filamu za Nigeria
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NIOpCg6StxQ/VNSVg5tWawI/AAAAAAADXuM/Cq1WqjZHwS4/s72-c/7834f09b7958d9cd1e034c414c7de748.jpg)
Pinda ashambuliwa, Ni kwa kutumika wanafunzi sherehe za CCM
![](http://2.bp.blogspot.com/-NIOpCg6StxQ/VNSVg5tWawI/AAAAAAADXuM/Cq1WqjZHwS4/s1600/7834f09b7958d9cd1e034c414c7de748.jpg)
Januari 28, mwaka huu, Ofisa Elimu Sekondari wa Manispaa hiyo, Leo Mapunda, aliwaandikia barua wakuu wa shule za sekondari za wavulana na wasichana Songea, Matogoro, Mashujaa, Matarawe na Mfanyakazi,...
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Mkazi wa Ngara ashambuliwa kwa kinyesi akitoka mahakamani
Mkazi wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw, Philimoni Bunziya akimwelezea mwandishi wa habari hizi jinsi alivyomwagiwa chupa yenye kinyesi na mtuhumiwa wakati akitoka Mahakamani katika maeneo hayo.
Na Daniel Makaka, Ngara
MKAZI mmoja wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw. Philimoni Bunziya alijikuta akishambuliwa na chupa iliyokuwa na kinyesi karibu na nyumbani kwake alipokuwa akitoka mahakamani.
Tukio hilo limetokea Machi 28 mwaka huu majira ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1JjBqDnNiQG5H7IfUrP4TWrNbgIFpuyU8Cm2aXK1hEWa5hcqQPzOS*oOR3aqLm0CM*zdNdRYd92um57ArBtHQ6EDMPupV75Y/BALOZI2.jpg)
BALOZI WA MAREKANI ASHAMBULIWA KWA KISU KOREA KUSINI