MBUNGE CCM ASIMULIA ALIVYOPOFUKA MACHO!
![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slc4sYwkexz4-isA1YaSx-jBGtSouzECJ81t3EwCRe397Uo4rplJKFf64UYEDFowIe31DONJI3iEBHxS0t3IzfTy/BACKJUMAMOSI1.jpg)
Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah Ni stori ya kusikitisha sana! Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kaskazini mkoani Lindi kwa ‘leseni’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kati ya mwaka 2005 hadi 2010, Dk. Samson Mpanda, amesimulia jinsi alivyopata upofu akiwa kwenye nafasi yake ya ubunge, tatizo ambalo lilimuanza mwaka mmoja tu baada ya kuchaguliwa na kuanza kuhudhuria vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/kada.jpg)
KADA CCM ASIMULIA ALIVYONUSA KIFO!
10 years ago
Mtanzania24 Mar
CCM watoana macho urais
Fredy Azzah na Debora Sanja, Dodoma
JOTO la Uchaguzi wa Rais ndani ya CCM linazidi kupanda huku makada na viongozi wa chama hicho wakipigana vijembe hadharani.
Hali hiyo inatokana na kile kinachojitokeza sasa, kuibuka kwa makundi ya jamii, wakiwamo wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu, kuwashawishi makada kadhaa wa CCM wawanie nafasi hiyo ya uongozi wa nchi katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Makada ambao wamekuwa wakishawishiwa kuwania nafasi hiyo ni Mbunge wa Monduli, Edward...
10 years ago
Raia Tanzania16 Jul
Malalamiko CCM Serengeti yasifumbiwe macho
GAZETI hili limefikiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, kwamba ‘mzimu’ wa ubaguzi wa kikabila umeanza kupenya ndani ya chama hicho.
Kwamba, uongozi wa CCM wilayani humo umewapendelea wanachama wa upande wa kabila la Wangoreme kwa kuelekeza huko kadi nyingi za chama hicho na kuwanyima wengi wa upande wa kabila la Wakurya.
Inadaiwa uongozi huo umefikia hatua hiyo kutokana na msukumo wa baadhi ya makada wa...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Macho yote CCM kwa Warioba leoÂ
MACHO na masikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yatakuwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji mstaafu Joseph Warioba, kuona kama mapendekezo yao ya kupinga muundo wa muungano...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WP6iF2F-vss/VPdgFLJ9KFI/AAAAAAABnDE/hLJqJw_HNF0/s72-c/1036.jpg)
Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-WP6iF2F-vss/VPdgFLJ9KFI/AAAAAAABnDE/hLJqJw_HNF0/s640/1036.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-V1UQiJ_mNtc/VPdgJn3vryI/AAAAAAABnDM/zPWV8-VZLwQ/s640/1031.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-RMNp-NXmTOY/VPdgKSJSpbI/AAAAAAABnDU/hEyIWj4H6do/s640/1005.jpg)
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Makada CCM waanza kukitolea macho ‘kiti’ cha Ndesamburo
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
CHADEMA wambwaga mbunge CCM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Njombe imetupia mbali kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi wa CHADEMA mkoani hapa, ya kutishia kummwagia tindikali Mbunge wa Njombe Kaskazini, Deo Sanga (CCM) maarufu kama Jah People....
10 years ago
Mtanzania10 Jan
CUF wamkimbiza mbunge wa CCM
Na Ally Badi, Lindi
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zainab Kawawa, juzi alifukuzwa na vijana wa Kijiji cha Makinda waliokuwa na mawe na magongo wakati akijiandaa kufanya mkutano wa hadhara.
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Makinda kilichopo Kata ya Kipule Wilaya ya Liwale, Salum Salum Kachwele, amelithibitishia MTANZANIA Jumamosi kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa Mbunge Kawawa alikutana na zahama hiyo wakati akijiandaa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Chadema wamfagilia Mbunge CCM
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kimepongeza kazi zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani katika kutatua kero za wananchi sanjari na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.