MBUNGE KABATI ATAKA WANANCHI WASIPOTOSHWE JUU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
Mbunge Ritta KabatiNa MatukiodaimaBlog
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) amewakata wananchi kutokubali kudanganywa na vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) juu ya mchakato wa katiba iliyopenekeshwa na badala yake kuungana na watanzania wapenda maendeleo kuikubali katiba hiyo muda utakapofika.
Mbuge Kabati alitoa kauli hiyo kwa nayakati tofauti juzi na jana wakati wa semina zake za ndani na wanawake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AWASHAWISHI WANANCHI NACHINGWEA KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE
11 years ago
MichuziMBUNGE KABATI ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO
5 years ago
CCM BlogDK KABATI MBUNGE WA KUIGWA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Mbunge Dk. Ritha Kabati
Na Richard MwaikendaMBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Dk. Ritha Kabati amechapisha kitabu cha kurasa 15 kinachoelezea alivyoshiriki katika kampeni ya kuelimisha wananchi jinsi ya kukabiliana na janga la Corona.
Kampeni hiyo ameifanya katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika wilaya tatu za mkoa wa Iringa, ambazo ni Mufindi, Kilolo na Iringa.
Katika kuhakikisha Serikali inafanikisha azma yake ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu ...
10 years ago
MichuziRASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
10 years ago
VijimamboRASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AMNUSURU MBUNGE WA IGALULA MFUTAKAMBA BAADA YA WANANCHI WAKE KUMJIA JUU.
5 years ago
Michuzi5 years ago
CCM Blog29 May
10 years ago
Mwananchi26 Sep
KATIBA: Waiponda rasimu iliyopendekezwa