Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE KABATI ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

 Daktari wa Mifugo wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Augustino Nyenza akimwelekeza Mbunge wa viti maalum Lita Kabati mradi wa machinjia ya kisasa yaliyoko Ngelewala yaliyopo katika kata ya Isakalilo.  Mganga Mfawishi wa Hospitali ya wilaya ya Frelimo Dk. Hassan Mtani akitoa taarifa kuhusu hospitali hiyo mbele ya mbunge wa Viti maalum CCm Lita Kabati Baadhi ya wahudumu wa hospitali ya Frelimo Mbunge wa viti maalum CCM Lita Kabati akimpa pole mama aliyejifungua hospitalini hapo. Mbunge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO MJINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa  Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali Mjini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimuuliza sualaKaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA PEMBA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili,wakati alipotembelea maendeleo ya Ujenzi wa barabara tatu za Mkoa wa Kaskazini Pemba,ikiwemo Konde,-Wete,Wete Gando na Gando –Ukunjwi,katika ziara ya Mkoa huo Mkurugenzi  Mtendaji  wa Kampuni ya Mecco Tanzania Abdulkadir Sheikh Bujet akitoa maelezo kwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

11 years ago

Michuzi

Ktibu mkuu Ofisi ya Maziri Mkuu atembelea Miradi mbalimbali ya maendeleo

Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakikagua moja ya Mradi  unao tekelezwa na CDA) katika   mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN). Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka  wa (katikati)  akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM  walipo tembelea eneo la mradi wa Makaburi ya Viongozi  katika eneo la  Mlimani . Kaimu  Mkurugenzi Mkuu wa  (CDA) Bw: Pascal Muragiri  akitoa maelezo ya mradi wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada  wa  Benki  ya Dunia   wanao wakati wa...

 

5 years ago

CCM Blog

DK KABATI MBUNGE WA KUIGWA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Mbunge Dk. Ritha Kabati
                        Na Richard Mwaikenda

MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Dk. Ritha Kabati amechapisha kitabu cha kurasa 15 kinachoelezea  alivyoshiriki katika kampeni ya kuelimisha wananchi jinsi ya kukabiliana na janga la Corona.


Kampeni hiyo ameifanya katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika wilaya tatu za mkoa wa Iringa, ambazo ni Mufindi, Kilolo na Iringa.


Katika kuhakikisha Serikali inafanikisha azma yake ya kukabiliana na ugonjwa wa  homa kali ya mapafu ...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE KABATI ATAKA WANANCHI WASIPOTOSHWE JUU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA

Mbunge Ritta KabatiNa MatukiodaimaBlog
MBUNGE  wa   viti maalum  mkoa  wa  Iringa Ritta Kabati (CCM) amewakata   wananchi  kutokubali kudanganywa na  vyama  vya  siasa  vinavyounda umoja wa katiba  ya  wananchi (UKAWA)  juu ya mchakato  wa  katiba  iliyopenekeshwa  na badala yake  kuungana na  watanzania wapenda maendeleo  kuikubali  katiba   hiyo  muda  utakapofika.
Mbuge Kabati  alitoa  kauli   hiyo kwa nayakati  tofauti juzi na  jana  wakati  wa  semina  zake za  ndani na wanawake...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KIGAMBONI KUANGALIA MAENDELEO YA TIBA YA KANSA YA KIZAZI KWA KINAMAMA

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (mwenye fulana ya mistari mbele) akizungumza na baadhi ya kinamama wakazi wa Mji wa Kigamboni waliojitokeza kwa wingi kwenye Kituo cha Afya Kigamboni kwa ajili ya kupatiwa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa ya Mlango wa Kizazi kwa kina mama inayoendelea kutolewa leo kituoni hapo.   Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akimuuliza Muuguzi wa zamu namna zoezi hilo la Utoaji wa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani