Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE MGIMWA AKABIDHI MSAADA KWA TOSAMAGANGA

Mbunge wa jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa mkoani Iringa Bw Godfrey Mgimwa.
MBUNGE wa jimbo la kalenga Wilaya ya Iringa mkoani Iringa Bw Godfrey Mgimwa ametoa msaada wa bati 50 na vitu mbali mbali vyote Vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh milioni 3.5 kwa ajili ya watoto yatima wa kituo cha Tosamaganga kata y a Kalenga.
Mbunge huyo amekabidhi msaada leo Mbunge Mgimwa alisema kuwa amelazimika kutoa msaada huo kama sehemu ya kuhamasisha jamii hapa nchini kujenga utamaduni ya kusaidia watoto yatima...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MBUNGE GODFREY MGIMWA AKABIDHI MSAADA WA BATI KIJIJI CHA USENGERENDETI NA MAHANZI

Katibu  wa mbunge  wa jimbo la Kalenga  Bw  Martine Simangwa  kushoto akikabidhi msaada wa bati  100 kwa  uongozi wa kijiji cha Usengerendeti  kwa  ajili ya ujenzi wa nyumba ya wauguzi wa Zanahati ya  kijiji  .Wananchi  wakishiriki kushusha  bati  hizoKatibu  wa mbunge Mgimwa Bw Martine Simangwa akieleza kazi mbali mbali  zilizofanywa na mbunge Godfrey Mgimwa toka alipochaguliwa 
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

11 years ago

Michuzi

GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI TOSAMAGANGA NA KALENGA LEO

mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa akinadi sera zake kwa wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni zake,zilizoendelea leo.  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa ambapo aliwaambia wananchi hao tutafute viongozi wa mfano wa Kitanzania ambao hawatatuchonganisha...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA IRINGA GNSM ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA YATIMA TOSAMAGANGA

MKurungenzi  wa kampuni ya ujenzi  wa barabara Iringa ya GNSM Bw  Geofrey Mungai na mkewe  Sarafina Mungia katikati  wakikabidhi  baada ya misaada  yenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 1 kwa  mlezi  wa  kituo cha yatima Tosamaganga Godfrida MhongoleBw Mungai  akishuhudia  jinsi  watoto  wanavyohudumiwa

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE PETER MSIGWA AKABIDHI MSAADA WA VYAKULA CHUO CHA ISLAMIC CENTER

 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akikabidhi msaada wa Sukari, kwa Kaimu Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Abubakari Chalamila kwa ajili ya kituo cha Kitanzani Islamic center kilichoko mjini Iringa. Baadhi ya misaada iliyotoa mbunge wa Iringa mjini mch. Peter Msigwa kwa kituo cha  chuo cha Kitanzani Islamic center kilichoko mjini Iringa.  (Picha zote na Denis Mlowe). 
 Na Denis Mlowe,Iringa MBUNGE wa Iringa Mjini(Chadema) Mchungaji Peter Msigwa amekikabidhi chuo cha Kitanzania...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE MWAKANG'ATA WA RUKWA AKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA ZAHANATI YA MAJENGO

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (kulia) akizungmza  baada ya kukabidhi msaada wa vifaa tiba katika Zahanati ya Majeno, mkoani Rukwa hivi karibuni.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA AKIJUMUIKA NA WAPIGA KURA WAKE KWA KUCHEZA BAO


Mbunge  wa  jimbo la kalenga Godfrey Mgimwa  kushoto akicheza  bao na mpiga  kura wake Yohanes Chotelo wa kijiji cha Kiponzero baada ya  mbunge  huyo kumaliza  ziara  yake  katika  kijiji  cha Kiponzero hivi karibuni (picha na matukiodaima.co.tz)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani