MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA IRINGA GNSM ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA YATIMA TOSAMAGANGA
MKurungenzi wa kampuni ya ujenzi wa barabara Iringa ya GNSM Bw Geofrey Mungai na mkewe Sarafina Mungia katikati wakikabidhi baada ya misaada yenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 1 kwa mlezi wa kituo cha yatima Tosamaganga Godfrida Mhongole
Bw Mungai akishuhudia jinsi watoto wanavyohudumiwa
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziHALMSHAURI YA WILAYA IRINGA YAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO YATIMA
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA EXCEL YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DAR
New Life Orphanage Home kilianzishwa Magomeni mwaka 1998 Kwa lengo la kusaidia watoto yatima, na kilianza na watoto 18 tu. New Life Orphanage Home kimefanikiwa kufungua kituo kikubwa zaidi Kigogo iliopo wilaya ya Kinondoni na kuwa...
10 years ago
Michuzi
MBUNGE MGIMWA AKABIDHI MSAADA KWA TOSAMAGANGA


MBUNGE wa jimbo la kalenga Wilaya ya Iringa mkoani Iringa Bw Godfrey Mgimwa ametoa msaada wa bati 50 na vitu mbali mbali vyote Vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh milioni 3.5 kwa ajili ya watoto yatima wa kituo cha Tosamaganga kata y a Kalenga.
Mbunge huyo amekabidhi msaada leo Mbunge Mgimwa alisema kuwa amelazimika kutoa msaada huo kama sehemu ya kuhamasisha jamii hapa nchini kujenga utamaduni ya kusaidia watoto yatima...
10 years ago
Michuzi.jpg)
MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MVUA JIMBONI KWAKE
.jpg)
.jpg)
5 years ago
Michuzi
ARIFU ABRI ATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MBINGAMA PAWAGA,MKOANI IRINGA

Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kupitia Wilaya ya Iringa Vijijini Arifu Abri akiongea na vyombo vya habari mara baada ya kukabidhi msaada kwa ajili ya wahanga wa kitongoji cha Mbingama tarafa ya Pawaga.
NA FREDY MGUNDA, IRINGA.
MJUMBE wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kupitia Wilaya ya Iringa Vijijini Arifu Abri ametoa msaada wa chakula tani tatu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko wa kijiji cha Isele kilichoko tarafa ya Pawaga wilaya ya Iringa vijijini mkoanbi Iringa kwa kuwa wanakabiliwa na...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA UUZAJI VIFAA VYA UJENZI FMJ YATOA MSAADA WA VITAKASA MIKONO KWA WAANDISHI WA HABARI ...YATUMA UJUMBE KWA WAJENZI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali KUHUSU mapambano ya kupunguza kuenea Kwa ugonjwa wa Covid-19,Kampuni ya uuzaji wa vifaa vya ujenzi ya FMJ Hard Ware Lmt iliyopo Buguruni Kisiwani jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa vitakasa mikono kwa vyombo vya habari.
Uongozi wa Kampuni hiyo umesema unatambua kazi kubwa inaayofanywa na vyombo vya habari hasa katika utoaji wa elimu na kuhabarisha umma kuhusu Corona, hivyo wameona haja ya kuwawezesha vitakasa mikono...
10 years ago
Michuzi
KAMPUNI ya Msama Promotions YATOA MSAADA WA VITU MBALI MBALI KWA VITUO 10 VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
KAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu katika jamii.
Akikabidhi misaada hiyo katika ofisi zake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Msama alisema misaada hiyo ni sehemu ya fedha za mauzo ya DVD za Tamasha la Pasaka la mwaka huu.
Msama alisema kupitia mauzo ya DVD za Tamasha hilo ambalo lilifanyika April 6 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania