MBUNGE GODFREY MGIMWA AKABIDHI MSAADA WA BATI KIJIJI CHA USENGERENDETI NA MAHANZI
Katibu wa mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Martine Simangwa kushoto akikabidhi msaada wa bati 100 kwa uongozi wa kijiji cha Usengerendeti kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya wauguzi wa Zanahati ya kijiji .
Wananchi wakishiriki kushusha bati hizo
Katibu wa mbunge Mgimwa Bw Martine Simangwa akieleza kazi mbali mbali zilizofanywa na mbunge Godfrey Mgimwa toka alipochaguliwa
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa achangia bati 100 ujenzi wa shule ya msingi lukwambe na zahanati ya kijiji cha mlangali
Mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--cv-CH-MjAs/VYkxkjI5LQI/AAAAAAAHisg/OOhhmRjnclg/s72-c/blogger-image-484141534%2B%25282%2529.jpg)
MBUNGE MGIMWA AKABIDHI MSAADA KWA TOSAMAGANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/--cv-CH-MjAs/VYkxkjI5LQI/AAAAAAAHisg/OOhhmRjnclg/s640/blogger-image-484141534%2B%25282%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Vln5aopQfVs/VYkxkFjvbCI/AAAAAAAHisY/hNlcXSC_mUM/s640/blogger-image-1053436227.jpg)
MBUNGE wa jimbo la kalenga Wilaya ya Iringa mkoani Iringa Bw Godfrey Mgimwa ametoa msaada wa bati 50 na vitu mbali mbali vyote Vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh milioni 3.5 kwa ajili ya watoto yatima wa kituo cha Tosamaganga kata y a Kalenga.
Mbunge huyo amekabidhi msaada leo Mbunge Mgimwa alisema kuwa amelazimika kutoa msaada huo kama sehemu ya kuhamasisha jamii hapa nchini kujenga utamaduni ya kusaidia watoto yatima...
10 years ago
GPLMBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Lukwambe hadi sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...
10 years ago
GPLFILIKUNJOMBE AKABIDHI MSAADA WA TSH MILIONI 40 KIJIJI CHA MAVANGA ASEMA CCM SI MBAYA WABAYA WATU
Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa muda mfupi baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya Tsh milioni 40 katika kijiji hicho.  Viongozi wa Kijiji cha Mavanga akiwemo mwenyekiti wa kijiji, Bw. Hilmar Mpambichaka (Chadema) kulia wakipokea misaada ya vifaa vya ujenzi toka kwa mbunge...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ad0lY0Jq92w/UydBypkF6DI/AAAAAAACcvw/yupsnnH79cY/s72-c/unnamed.jpg)
GODFREY MGIMWA AKABIDHIWA HATI YAKE YA KUWA MBUNGE
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ad0lY0Jq92w/UydBypkF6DI/AAAAAAACcvw/yupsnnH79cY/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-YjUnv2pkNwM/UydBwUNmiMI/AAAAAAACcvo/x2KWFTgA_uA/s1600/IMG-20140317-WA0001.jpg)
11 years ago
MichuziMBUNGE PETER MSIGWA AKABIDHI MSAADA WA VYAKULA CHUO CHA ISLAMIC CENTER
Na Denis Mlowe,Iringa MBUNGE wa Iringa Mjini(Chadema) Mchungaji Peter Msigwa amekikabidhi chuo cha Kitanzania...
11 years ago
Michuzi29 Jun
mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali
Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa
Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-myMSBU9RMCY/Xq_tIsX2DLI/AAAAAAABMCk/2_vPIzrZUYEWmF6qmV-8JVX-QuJEXNf0QCLcBGAsYHQ/s72-c/95369533_881795262337749_7986312861653663744_o.jpg)
MBUNGE MWAKANG'ATA WA RUKWA AKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA ZAHANATI YA MAJENGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-myMSBU9RMCY/Xq_tIsX2DLI/AAAAAAABMCk/2_vPIzrZUYEWmF6qmV-8JVX-QuJEXNf0QCLcBGAsYHQ/s400/95369533_881795262337749_7986312861653663744_o.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania