Mbunge wa Sumbawanga Mjini,Aeshi Hilaly amwomba radhi Dr. Chrisant Mzindakaya
Mbunge wa Sumbawanga Mjini , Aeshi Hilaly akimwomba radhi Mwanasiasa mkongwe Dr. Chrisant Mzindakaya (kushoto) wakati alipotakiwa kufanya hivyo na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Stella Manyanya (kushoto) katika ibada ya kumsimika Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Rukwa, Conrad Nguvumali kwanye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga Mei 25, 2014.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mzindakaya agoma kumsamehe Mbunge wa Sumbawanga Mjini...
.jpg)

Haya yametokea leo mchana (Jumapili, Mei 25, 2014) kwenye ibada ya kumuweka wakfu Askofu Mteule Conrad Nguvumali wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Rukwa iliyofanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga. Mzee Mzindakaya alikataa kufanya hivyo...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: AESHI KHALFAN HILALY
10 years ago
Vijimambo
MAGUFULI AFUNGA KAZI SUMBAWANGA MJINI




10 years ago
Vijimambo
MAMA SAMIA AUNGURUMA SUMBAWANGA MJINI



10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini
Katibu tawala mkoa wa Rukwa, ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...
10 years ago
Michuzi
MAMA SAMIA ATUA KWA CHOPA NA KUUNGURUKA SUMBAWANGA MJINI LEO



10 years ago
Mwananchi24 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kwela hayana mwenyewe Kalambo ni CCM
10 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
Michuzi
EWURA YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI MJINI SUMBAWANGA
